NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Umbo la uwezekano la vitenzi (Somo la 35)

Nyenzo za kujifunzia

Umbo la uwezekano la vitenzi (Somo la 35)

Umbo la MASU Umbo la uwezekano
TSUKAIMASU
kutumia
TSUKAEMASU
MACHIMASU
kusubiri
MATEMASU
ATSUMARIMASU
kukusanyika
ATSUMAREMASU
YOMIMASU
kusoma
YOMEMASU
KAKIMASU
kuandika
KAKEMASU
ISOGIMASU
kufanya haraka
ISOGEMASU
IKIMASU
kwenda
IKEMASU
TABEMASU
kula
TABERAREMASU
OBOEMASU
kukumbuka
OBOERAREMASU
IMASU
kuwepo
IRAREMASU
MIMASU
kuona
MIRAREMASU
KIMASU
kuja
KORAREMASU
SHIMASU
kufanya
DEKIMASU

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.