NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Tarehe (Somo la 27)

Nyenzo za kujifunzia

Tarehe (Somo la 27)

TSUITACHI mosi
FUTSUKA mbili
MIKKA tatu
YOKKA nne
ITSUKA tano
MUIKA sita
NANOKA saba
YÔKA nane
KOKONOKA tisa
TÔKA kumi
JÛICHINICHI kumi na moja
HATSUKA ishirini
NIJÛYOKKA ishirini na nne

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.