NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Umbo la amri la vitenzi (Somo la 25)

Nyenzo za kujifunzia

Umbo la amri la vitenzi (Somo la 25)

Umbo la MASU Umbo la amri
TSUKAIMASU
(kutumia)
TSUKAE
MACHIMASU
(kusubiri)
MATE
ATSUMARIMASU
(kukusanyika)
ATSUMARE
YOMIMASU
(kusoma)
YOME
KAKIMASU
(kuandika)
KAKE
ISOGIMASU
(kufanya haraka)
ISOGE
IKIMASU
(kwenda)
IKE
TABEMASU
(kula)
TABERO
OBOEMASU
(kukumbuka)
OBOERO
IMASU
(kuwepo)
IRO
MIMASU
(kuona)
MIRO
KIMASU
(kuja)
KOI
SHIMASU
(kufanya)
SHIRO

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.