NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Maneno yanayoashiria wakati (Somo la 24)

Nyenzo za kujifunzia

Maneno yanayoashiria wakati (Somo la 24)

KINÔ jana
KYÔ leo
ASHITA kesho
SENSHÛ wiki iliyopita
KONSHÛ wiki hii
RAISHÛ wiki ijayo
SENGETSU mwezi uliopita
KONGETSU mwezi huu
RAIGETSU mwezi ujao

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.