NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Namna ya kuhesabu dakika (Somo la 22)

Nyenzo za kujifunzia

Namna ya kuhesabu dakika (Somo la 22)

IPPUN Dakika 1
NIFUN Dakika 2
SANPUN Dakika 3
YONPUN Dakika 4
GOFUN Dakika 5
ROPPUN Dakika 6
NANAFUN Dakika 7
HACHIFUN Dakika 8
KYÛFUN Dakika 9
JIPPUN, JUPPUN Dakika 10

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.