NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Jinsi ya kuunda vitenzi vya umbo la TA (Somo la 12)

Nyenzo za kujifunzia

Jinsi ya kuunda vitenzi vya umbo la TA (Somo la 12)

Tujifunze namna ya kuunda vitenzi vya umbo la TA kwa kuimba. Wimbo huu unakufahamisha vile unavyoweza kubadilisha vitenzi vya umbo la MASU hadi umbo la TA, ikitegemea na silabi zinazojitokeza kabla ya MASU. Imba wimbo huo na ukariri kanuni zinazotumika.
Wimbo
Ala saidizi peke yake

I-CHI-RI TTA, MI-NI-BI NDA

I-CHI-RI TTA, MI-NI-BI NDA

KI ITA, GI IDA, ITTA

KI ITA, GI IDA, ITTA

Wimbo (Mp3)
Pakua
Ala saidizi peke yake (MP3)
Pakua
Karatasi inayoonyesha manoti (PDF)
Pakua

Umbo la MASU Umbo la TA
TSUKAIMASU
(kutumia)
TSUKATTA
MACHIMASU
(kusubiri)
MATTA
ATSUMARIMASU
(kukusanyika)
ATSUMATTA
YOMIMASU
(kusoma)
YONDA
KAKIMASU
(kuandika)
KAITA
ISOGIMASU
(kufanya haraka)
ISOIDA
IKIMASU
(kwenda)
ITTA
TABEMASU
(kula)
TABETA
OBOEMASU
(kukumbuka)
OBOETA
IMASU
(kuwepo)
ITA
MIMASU
(kuona)
MITA
KIMASU
(kuja)
KITA
SHIMASU
(kufanya)
SHITA

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.