NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Siku za wiki (Somo la 11)

Nyenzo za kujifunzia

Siku za wiki (Somo la 11)

GETSUYÔBI Jumatatu
KAYÔBI Jumanne
SUIYÔBI Jumatano
MOKUYÔBI Alhamisi
KINYÔBI Ijumaa
DOYÔBI Jumamosi
NICHIYÔBI Jumapili

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.