Somo la 38
Sawa.

Anna alipoamka asubuhi, alihisi uchovu na homa. Anakwenda hospitalini pamoja na Mama msimamizi wa bweni.
Usemi wa msingi:
KASHIKOMARIMASHITA
Mazungumzo
寮母 | 市民病院までお願いします。 | Tafadhali tupeleke hospitali ya umma.
|
---|---|---|
Msimamizi wa bweni | SHIMIN BYÔIN MADE ONEGAI SHIMASU.
Tafadhali tupeleke hospitali ya umma.
|
|
運転手 | かしこまりました。 | Sawa mama.
|
Dereva wa teksi | KASHIKOMARIMASHITA.
Sawa mama.
|
|
寮母 | まっすぐ行って、3つ目の信号を左に曲がってください。 | Tafadhali nenda moja kwa moja, kisha pinda kushoto kwenye taa ya tatu.
|
Msimamizi wa bweni | MASSUGU ITTE, MITTSU ME NO SHINGÔ O HIDARI NI MAGATTE KUDASAI.
Tafadhali nenda moja kwa moja, kisha pinda kushoto kwenye taa ya tatu.
|
Vidokezo vya sarufi
Kauli ya heshima
Unatumia kauli ya heshima unapozungumza na, au unapomtaja mtu aliyekuzidi umri, kiongozi wako, mwalimu, wateja, au mtu ambaye humfahamu vizuri.
Ili kujifunza zaidi, tafadhali nenda "Mwalimu Tufundishe."
Mwalimu Tufundishe
Kauli ya heshima
Unatumia kauli ya heshima unapozungumza na, au unapomtaja mtu aliyekuzidi umri, kiongozi wako, mwalimu, wateja, au mtu ambaye humfahamu vizuri.
Tanakali Sauti
Kushindwa kusimama / kuhisi kizunguzungu
Kijapani ni lugha iliyo na tanakali sauti nyingi. Kwenye lugha ya Kijapani kuna aina nyingi za tanakali sauti, kuanzia sauti zinazotolewa na wanyama hadi namna ya kuelezea hisia. Yote hayo yameelezwa kwa sauti. Tafadhali bofya kitufe cha kusikiliza na ufurahie.
Tafakuri ya Anna
Madereva wa teksi nchini Japani huwafungulia wateja milango. Ikiwa utajaribu kujifungulia mlango mwenyewe, utakatazwa. Kwa hiyo kuwa muangalifu.”
