NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Pakua Masomo

Pakua Masomo

Pakua Masomo

Kurasa za maandiko (mfumo wa pdf) kwa ajili ya mafunzo zinaweza kupakuliwa. Maandiko ya masomo yote 48 pia yanapatikana.

Hatua za upakuaji

Kama unatumia tarakilishi binafsi: Chagua faili unalotaka kupakua na ubonyeze kulia (kwa Mac iliyo na kitufe kimoja kwenye kipanya, kibonyeze kitufe hicho, pamoja na ctrl kwa wakati mmoja) na ubonyeze "Save target as".

Ikiwa unatumia simu aina ya smartphone: Chagua na uhifadhi faili unayotaka kupakua. Baadhi ya OS au aina fulani ya vifaa inaweza kuhitaji program.

Maandiko kwa kila somo