#48
Kusema unachotaka kufanya siku za mbeleni
Wapangaji wa "Nyumba ya Haru-san" wamefika kwenye Hekalu la kibuddha la Kiyomizu-dera huko Kyoto. Tam anaelezea ndoto zake.
いいね!
Ii ne!
Ni vizuri.
来る
kuru
kuja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
もうすぐ
moosugu
karibia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
1年
ichi-nen
mwaka mmoja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
将来
shoorai
siku za mbeleni
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
何
nani
nini
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
する
suru
fanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
卒業する
sotsugyoo-suru
hitimu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本
Nihon
Japani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
働く
hataraku
fanya kazi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
旅行会社
ryokoo-gaisha
wakala wa usafiri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
魅力
miryoku
vivutio
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いっぱい
ippai
vingi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
伝える
tsutaeru
tangaza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
応援する
ooen-suru
saidia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
がんばる
ganbaru
jitahidi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kusema unachotaka kufanya siku za mbeleni
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kusema unachotaka kufanya siku za mbeleni kulingana na hali fulani, tumia "-tara, -tai desu." "-tara" ni umbo la TA la kitenzi kilichojumuishwa na "ra." Kinaelezea hali ya wakati kama kitu kikitokea au kutimizwa.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Kama mapumziko ya msimu wa joto yakianza, nataka kuja tena nchini Japani.
mapumziko ya msimu wa joto yakianza | nataka kuja tena nchini Japani
夏休みになる(→なったら) | また日本に来たい
natsu-yasumi ni naru (→nattara) | mata Nihon ni kitai
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Kama [kitenzi 1] , nataka [kitenzi 2] .
【kitenzi 1】たら、【kitenzi 2】たいです。
【kitenzi 1】tara,【kitenzi 2】tai desu.
nikirejea nchini kwangu | nataka kujifunza Kijapani zaidi
国に帰る(→帰ったら) | もっと日本語を勉強したい
kuni ni kaeru (→kaettara) | motto Nihongo o benkyoo-shitai
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Kama [kitenzi 1] , nataka [kitenzi 2] .
【kitenzi 1】たら、【kitenzi 2】たいです。
【kitenzi 1】tara,【kitenzi 2】tai desu.
kijapani changu kikiboreka| nataka kusoma katuni za manga kwa Kijapani
日本語が上手になる(→なったら) | 日本語でマンガを読みたい
Nihongo ga joozuni naru (→nattara) | Nihongo de manga o yomitai
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Usemi huu unatumika kuelezea jinsi ulivyonuia kufanya juhudi ya kufanikisha kitu/jambo fulani.
Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!
Vyakula vya maeneo nchini Japani
Kila eneo nchini Japani lina vyakula vyake mahususi. Mathalani, Osaka ni maarufu kwa "okonomiyaki." Mbogamboga, nyama na viambato vingine huchanganywa kwenye rojo la unga wa ngano na maji na kisha kuchomwa.
Mkoa wa Akita ni maarufu kwa "kiritanpo." Wali uliopondwa, na kufinyangwa kwenye kijiti katika umbo la mcheduara, na kisha kuchomwa. Kwa kawaida huliwa kwenye chungu cha moto.
Mkoa wa Kagawa unajulikana kwa tambi zake za "udon" zinazotafunika.
Katika mkoa wa Nagasaki, utapata "chanpon" zikiwa na viambato vingi juu yake.
(1) Okonomiyaki (Mkoani Osaka)
(2) Kiritampo nabe (Mkoani Akita)
(3) Sanuki udon (Mkoani Kagawa)
(4) Chanpon (Mkoani Nagasaki)
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"