#47
Kuuliza jinsi ya kufanya kitu
Wapangaji wa "Nyumba ya Haru-san" wametembelea hekalu la shinto la Fushimi Inari Taisha huko Kyoto.
はい、どうぞ。
Hai, doozo.
Hii hapa.
おみくじ
omikuji
kiagua bahati
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どうやって
doo yatte
jinsi gani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
する
suru
fanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
箱
hako
kasha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
振る
furu
tikisa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
3番
san-ban
namba tatu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どうぞ
doozo
hii hapa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大吉
daikichi
bahati njema sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どういう
doo iu
aina gani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
意味
imi
maana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
とても
totemo
sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
njema/‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
運勢
unsee
bahati
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuuliza jinsi ya kufanya kitu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuulizia jinsi ya kufanya kitu mathalani unapofanya kitu hicho kwa mara ya kwanza, sema "Doo yatte -n desu ka." "Doo yatte" ni "jinsi gani." Unatumia "-n desu ka" ikiwa hauelewi kitu na unataka mtu akuelezee kitu hicho. Huja baada ya kitenzi cha umbo la kikamusi.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Samahani. Natumiaje hii?
hii | tumia
これ | 使う
kore | tsukau
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Na-je?
すみません。どうやって~んですか。
Sumimasen. Doo yatte ~n desu ka.
vaa
着る
kiru
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Na-je?
すみません。どうやって~んですか。
Sumimasen. Doo yatte ~n desu ka.
chaji
チャージする
chaaji-suru
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Usemi huu unatumika endapo kuna usemi hauuelewi na unataka kuuliza unamaanisha nini.
Ushauri wa Haru-san
Omikuji: Jaribu Bahati Yako!
Unaweza kupata "omikuji" kwenye mahekalu ya kibuddha na ya shinto. Kwa kawaida omikuji ina bahati yako iliyoandikwa kwenye kipande kirefu na chembamba cha karatasi. Bahati hizo ni pamoja na "daikichi" (bahati njema sana), "kichi" (bahati nzuri), na "kyoo" (bahati mbaya). Pia wanatoa ushauri kuhusu maisha ya kila siku, ikiwemo afya, kazi na mapenzi.
大吉[daikichi]= bahati njema sana
吉[kichi]= bahati nzuri
凶[kyoo]= bahati mbaya
Ukipata "omikuji" yenye bahati mbaya, baadhi wanaweza kuamini kuwa unaweza kuibadili kuwa bahati nzuri kwa kujaribu kuifunga kwenye tawi la mti au sehemu mahususi katika maeneo hayo.
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"