#46
Kuelezea fikra zako mbalimbali -- Sehemu 2
Wapangaji wa "Nyumba ya Haru-san" wapo safarini huko Kyoto. Wanataka kujiandikisha kwenye hoteli ambayo inatumia "machiya."
おいでやす。
Oideyasu.
Karibuni.
さあ
saa
haya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
着く
tsuku
fika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ごめんください
gomenkudasai
hodi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おいでやす
oideyasu
karibuni (lahaja)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
部屋/お部屋
heya/oheya
chumba
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
こちら
kochira
huku (kiungwana)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わあ
waa
wow
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すてき(な)
suteki (na)
safi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
庭/お庭
niwa/oniwa
bustani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ある
aru
kuwa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
小さい
chiisai
‐dogo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
きれい(な)
kiree (na)
‐a kupendeza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea fikra zako mbalimbali -- Sehemu 2
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuunganisha sentensi mbili zinazokinzana, tumia "[sentensi 1] kedo [sentensi 2]." "Kedo" inamaanisha "lakini." Kwa [sentensi 1], tumia sentensi zinazoundwa na nomino, vivumishi vya I, vivumishi vya NA au vitenzi. Katika sentensi hii, mtindo wa kawaida unakuwa sawa.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nilichoka lakini ilifurahisha.
Nilichoka | ilifurahisha
疲れた | 楽しかった
tsukareta | tanoshikatta
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
[sentensi 1] lakini [sentensi 2].
【sentensi 1】けど【sentensi 2】。
【sentensi 1】kedo【sentensi 2】.
Ni ngumu | inavutia
難しい | おもしろい
muzukashii | omoshiroi
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
[sentensi 1] lakini [sentensi 2].
【sentensi 1】けど【sentensi 2】。
【sentensi 1】kedo【sentensi 2】.
Ni kubwa | ilikuwa gharama nafuu
大きい | 安かった
ookii | yasukatta
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ni salamu unayoitoa ukiwa unaingia nyumbani kwa mtu. Unasema hivyo kwa mtu aliye ndani ya nyumba na wewe ukiwa nje ya nyumba.
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Tutalii Kyoto
Kyoto ina vivutio vingi vya kitalii, kama vile mahekalu ya kibuddha na shinto, makasri na bustani ambazo zina umri wa karne kadhaa, sambamba na vivutio vingine. Kwa mfano, "Hekalu la kibuddha la Kiyomizu-dera" ni maarufu kwa jukwaa la ukumbi wake mkuu, lililotokeza juu ya jabali. "Hekalu la kibuddha la Ryoanji" lina bustani nzuri kwenye miamba. "Hekalu la shinto la Fushimi Inari Taisha" lina malango yaliyojipanga pamoja na kutengeneza kama njia ya chini ya ardhi na "Kasri la Nijo-jo" linavutia kwa mapambo yake ya ndani.
Hekalu la kibuddha la Kiyomizu-dera
Hekalu la kibuddha la Ryoanji
Hekalu la shinto la Fushimi Inari Taisha
Kasri la Nijo-jo
Kyoto ni kuzuri kutalii. Ni kuzuri kufanya matembezi kwenye mitaa iliyojipanga nyumba za "machiya" au kando ya mto. Kufika kwenye mgahawa wa kitamaduni kwa ajili ya vitamutamu vya Kijapani ni burudani pia.
Nyumba za mjini za "Machiya"
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"