#43
Kuelezea fikra kuhusu unachokiona
Tam na Mi Ya wanakwenda kuonana na Yuuki kwenye chumba chake cha kubadilishia nguo baada ya onyesho la kupiga piano.
久しぶり
hisashiburi
siku nyingi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
去年
kyonen
mwaka jana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本
Nihon
Japani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
来る
kuru
kuja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本語
Nihongo
lugha ya Kijapani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
勉強する
benkyoo-suru
soma
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そう
soo
kumbe
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
夢
yume
ndoto
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
かなう
kanau
timia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
元気(な)
genki (na)
‐enye afya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
また
mata
tena
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
会う
au
onana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
うれしい
ureshii
furaha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea fikra kuhusu unachokiona
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea fikra zako kuhusu unachokiona au tathmini ya hali, tumia "[kivumishi] + soo desu." Ikiwa ni kivumishi cha NA, ondoa "na" mwishoni na kisha weka "soo desu." Ikiwa ni kivumishi cha I, ondoa "i" mwishoni na weka "soo desu."
"-soo":
Kama ilivyo kwenye "Omoshirosoo" yaani "inaonekana inavutia" na "Oishisoo" yaani "inaonekana tamu", ukitaka kuelezea fikra zako baada tu ya kuona kitu acha "desu" na sema "-soo."
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Inaonekana ghali kidogo.
kidogo | ghali
ちょっと | 高い
chotto | takai
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
U/Inaonekana ~.
~そうですね。
~soo desu ne.
leo | mbaya
今日は | ダメ(な)
kyoo wa | dame (na)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
U/Inaonekana ~.
~そうですね。
~soo desu ne.
hapa | nzuri
ここ | いい(→よさそう)
koko | ii (→yosasoo)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ni salamu unayoitoa kwa mtu ambaye hujaonana naye kwa muda mrefu. Kama ni rafiki, unaweza kuisema kirafiki "Hisashiburi."
Ushauri wa Haru-san
Maua ya misimu nchini Japani
Kuna sehemu nyingi zinazojulikana kwa maua yake nchini Japani. Baada ya maua ya mcheri katika msimu wa machipuo, maua ya "hydrangea" hufuata wakati wa msimu wa mvua.
Maua ya mcheri katika makazi ya mfalme (Tokyo)
Maua ya "Hydrangea" katika hekalu la Hando-ji (Mkoani Chiba)
Katika msimu wa joto, watu hufurika kutazama maua ya mirujuani na alizeti yanayomea katika maeneo makubwa ya wazi. Katika msimu wa pukutizi, majani ya miti hubadilika rangi na maua ya "cosmos" pia ni maarufu. Maua ya plamu huchanua kuanzia msimu wa baridi hadi msimu wa machipuo. Watu wengi huhisi kwamba "msimu wa machipuo umekaribia" wanapoyaona maua hayo ya plamu.
Alizeti katika mji wa Hokuryu
(Hokkaido)
Maua ya plamu katika kasri la Osaka
(Osaka)
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"