#38
Kulinganisha vitu viwili
Tam na Ayaka wamepanda usafiri wa majini mahsusi kwa kutalii katika ziwa Ashinoko huko Hakone.
本当。
Hontoo.
Hakika.
中
naka
ndani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
座る
suwaru
kaa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
それとも
soretomo
au
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
外
soto
nje
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
デッキ
dekki
staha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わあ
waa
wow
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
富士山
Fuji-san
mlima Fuji
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
きれい(な)
kiree (na)
pendeza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
本当
hontoo
hakika (katika muktadha huu)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
気持ちいい
kimochi ii
kuhisi raha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
今日
kyoo
leo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
晴れる
hareru
kuna jua
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kulinganisha vitu viwili
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kulinganisha vitu viwili tofauti, sema "(A yori) B no hoo ga + [kivumishi]." Hii inaashiria B ni juu zaidi/bora kuliko A katika kulinganisha. Inapokuwa dhahiri kipi kinalinganishwa na kipi, unaweza kutosema "A yori."
Jinsi ya kulinganisha vitu kwa kutumia vivumishi:
Katika "(A yori)B no hoo ga + [kivumishi]", vivumishi vyote vya I na NA vinatumika. Hivi ni jinsi ya kuweka "desu" baada ya vivumishi vinavyokuwa mwisoni mwa sentensi. Kwa vivumishi vya I kama vile "ii" ("-zuri"), "yasui" ("gharama nafuu"), au "hayai" ("haraka"), huna haja ya kubadili vivumishi. Lakini kwa vivumishi vya NA kama vile "suki(na)" ("penda") au "kiree(na)" ("nzuri"), ondoa "(na)" kisha weka "desu."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ninapenda zaidi samaki kuliko nyama.
nyama | samaki | penda/bora
肉 | 魚 | 好き(な)
niku | sakana | suki(na)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
B ni [kivumishi] zaidi (kuliko A) (, sivyo?)
(Aより) Bのほうが【kivumishi】です (ね)。
(A yori) B no hoo ga 【kivumishi】 desu (ne).
duka hili | gharama nafuu
この店 | 安い
kono mise | yasui
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
B ni [kivumishi] zaidi (kuliko A) (, sivyo?)
(Aより) Bのほうが【kivumishi】です (ね)。
(A yori) B no hoo ga 【kivumishi】 desu (ne).
treni hii | haraka
この電車 | はやい
kono densha | hayai
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Kupanda mlima Fuji
Mlima Fuji ni mlima mrefu zaidi nchini Japani, una urefu wa mita 3,776, na unaweza kuupanda. Msimu wa kupanda ni kuanzia mwezi wa Saba hadi mwanzoni mwa mwezi wa Tisa. Kuna njia kadhaa, lakini njia maarufu zaidi ni kwenda kwa basi hadi kituo cha tano na panda kuanzia hapo.
Furahia kutazama kwa upana mawingu na mandhari ya chini inafanya kupanda mlima Fuji kufurahisha. Watu wengi usiku wanalala kwenye vibanda vya kulala wageni karibu na kituo cha saba na cha nane, kisha wanaamka mapema ili kufika kileleni kwa muda ili kuwahi mawio.
Mandhari kutokea kileleni
Mawio yakionekana kutoka kileleni
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"