#37
Kusema kuna tatizo
Inaonekana Tam na Ayaka wana tatizo kwenye chumba chao katika hoteli ya chemchemi ya majimoto huko Hakone.
ほんとだ。
Honto da.
Kweli.
あれ
are
oho
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
テレビ
terebi
runinga
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
つく
tsuku
waka
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ほんと
honto
kweli (kirafiki)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おかしい
okashii
ajabu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
フロント
furonto
mapokezi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
電話する
denwa-suru
piga simu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すみません
sumimasen
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
少々
shooshoo
kidogo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
待つ
matsu
subiri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
担当
tantoo
anayeshughulikia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
者
mono
mtu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
伺う
ukagau
kuja (kiunyenyekevu)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kusema kuna tatizo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kumwambia mtu kuna tatizo, ongeza "-n desu ga" kwenye kitenzi cha umbo la NAI. Umbo la NAI ni umbo la kukanusha na linaashiria una tatizo kwa sababu kitu unachokitarajia hakifanyiki. "-n desu ga" inatumika kuelezea hali yako kwa mtu na kumfanya mtu huyo atoe mwitikio.
Kiunganishi cha mada cha "ga":
Kiunganishi "ga" katika "Terebi ga tsukanai" yaani "Runinga haiwaki" kinaashiria kwamba runinga ni mada ya kitenzi "tsuku" yaani "waka."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Samahani. Ufunguo haufungui.
ufunguo | fungui
かぎ | 開く(→開かない)
kagi | aku(→akanai)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani [mada] hau-/hai‐ …
すみません。【mada】が~ないんですが・・・。
Sumimasen. 【mada】ga ~nain desu ga...
ukubwa wa kimono cha msimu wa joto | toshi
浴衣のサイズ | 合う(→合わない)
yukata no saizu | au(→awanai)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani [mada] hau-/hai‐ …
すみません。【mada】が~ないんですが・・・。
Sumimasen. 【mada】ga ~nain desu ga...
kiyoyozi | fanya kazi
エアコン | 効く(→効かない)
eakon | kiku(→kikanai)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Huu ni usemi wa kiungwana unaotumika wakati mfanyakazi anapowaomba wageni wa hoteli au wateja kusubiri. Umbo la kikamusi la kitenzi cha "subiri" ni "matsu".
Ushauri wa Haru-san
Kukaa katika hoteli za Kijapani
Vyumba kwenye hoteli za Kijapani zinazoitwa ryokan, kwa kawaida vinakuwa na sakafu ya mkeka wa tatami, na unavua viatu unapoingia chumbani. Utakuta kimono cha msimu wa joto, kinachojulikana kama yukata, chumbani. Baadhi ya hoteli zinaleta chakula kwenye chumba chako, au kuweka godoro la futon chumbani mwako.
Hoteli ya chemchemi ya majimoto
Unaweza kuvaa yukata na kuzungukazunguka kwenye eneo la chemchemi ya majimoto. Watu wengi wanapenda kuoga mara kadhaa wakati wa kukaa hotelini: baada ya kufika hotelini, kabla ya kwenda kulala na baada ya kuamka. Unaweza kupata tajiriba ya Japani ndani ya ryokan.
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"