#35
Kuelezea uliyoyafanya na utakayoyafanya kwa mtiririko
Tam na Ayaka wamo kwenye treni kuelekea Hakone, eneo maarufu la kitalii lililpo jirani na Tokyo.
うん。
Un.
Ndiyo.
へえ。
Hee.
Aah.
箱根
Hakone
Hakone
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~時
~ji
saa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
着く
tsuku
fika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
何
nani
nini
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
する
suru
fanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大涌谷
Oowaku-dani
Owakudani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
黒たまご
kuro-tamago
yai jeusi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
食べる
taberu
kula
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
卵
tamago
yai
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
本当に
hontoo ni
kweli
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
黒い
kuroi
‐eusi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
うん
un
ndiyo (kirafiki)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
でも
demo
lakini
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
外側
sotogawa
nje
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
中
naka
ndani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
普通
futsuu
kawaida
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ゆで卵
yude-tamago
yai lililochemshwa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
へえ
hee
aah
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea uliyoyafanya na utakayoyafanya kwa mtiririko
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kusema mambo mawili au zaidi kwa mtiririko, yaunganishe mambo hayo kwa kutumia umbo la TE, kama kwenye "[kitenzi 1 katika umbo la TE], [kitenzi 2]." Katika usemi wa msingi, kitenzi "iku" yaani "kwenda" kimebadilishwa kuwa katika umbo la TE "itte" ili kuunganisha sentensi mbili.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ninataka kupanda mlima Takao na kupiga picha.
«kitu unachotaka kufanya»kupanda mlima Takao | kupiga picha
高尾山に登る(→登って) | 写真を撮る(→撮りたいです)
Takao-san ni noboru (→nobotte) | shashin o toru (→toritai desu)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ninataka/Nili [kitenzi 1], ([kitenzi 2],) [kitenzi 3].
【kitenzi 1】て、(【kitenzi 2】て、) 【kitenzi 3】たいです/ました/ます。
【kitenzi 1】te, (【kitenzi 2】te,) 【kitenzi 3】tai desu/mashita/masu.
«kitu ulichofanya»kwenda Shibuya | kufanya manunuzi | kula mlo
渋谷に行く(→行って) | 買い物をする(→して) | ご飯を食べる(→食べました)
Shibuya ni iku (→itte) | kaimono o suru (→shite) | gohan o taberu (→tabemashita)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ninataka/Nili/Nita [kitenzi 1], ([kitenzi 2],) [kitenzi 3].
【kitenzi 1】て、(【kitenzi 2】て、) 【kitenzi 3】たいです/ました/ます。
【kitenzi 1】te, (【kitenzi 2】te,) 【kitenzi 3】tai desu/mashita/masu.
«kitu utakachofanya»kwenda Odaiba | kupanda bembea ya ringi | kuoga kwenye chemchemi ya majimoto.
お台場に行く(→行って) | 観覧車に乗る(→乗って) | 温泉に入る(→入ります)
Odaiba ni iku (→itte) | kanransha ni noru (→notte) | onsen ni hairu (→hairimasu)
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Hakone, eneo maarufu la kitalii lililpo jirani na Tokyo
Hakone ni eneo la kitalii lililopo milimani karibu mwendo wa saa moja na nusu kutoka Tokyo, ni maarufu kwa chemchemi zake za majimoto. Vivutio vingine ni pamoja na Owakudani, ambacho kina mandhari ya kipekee yaliyotokana na mlipuko wa volkano, na Hakone "Checkpoint" cha tangu enzi ya Edo.
Owakudani
Hakone "Checkpoint"
Hakone pia ina treni ya mlimani, makumbusho mengi ya sanaa, na ziwa Ashinoko. Na kama hali ya hewa ni nzuri, unaweza kufurahia mandhari mazuri ya mlima Fuji.
Treni ya Hakone Tozan
Mandhari ya mlima Fuji kutokea ziwa Ashinoko
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"