#34
Kusema ambacho umewahi kukifanya
Tam na Mike wamefika kwenye "manga café", ambapo kuna mkusanyiko wa vitabu vingi vya katuni za manga pamoja na majarida.
わあ
waa
wow
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
マンガ
manga
manga
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
たくさん
takusan
vingi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
この
kono
hiki
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
知って(い)る
shitte (i) ru
fahamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
読む
yomu
soma
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
え?
e?
mm?
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本語
Nihongo
lugha ya Kijapani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いえ
ie
hapana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ベトナム語
Betonamugo
lugha ya Kivietnamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
とても
totemo
sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おもしろい
omoshiroi
‐a kufurahisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kusema ambacho umewahi kukifanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea ulichokifanya, tumia "[kitenzi cha umbo la TA] + koto (ga) arimasu." Umbo la TA la kitenzi ambacho huishia na "ta/da" linaashiria tendo limefanyika wakati uliopita au wakati timilifu. Ili kuunda umbo la TA, badili "te/de" ya kitenzi cha umbo la TE kuwa "ta/da."
Kusema ambacho hujawahi kukifanya:
Ili kuelezea kitu ambacho haujawahi kukifanya, badili kitenzi "arimasu" kwa kuweka "nai desu/arimasen" yaani "Sijawahi~" ili kusema "~koto nai desu/arimasen."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nimewahi kwenda Okinawa.
«-mewahi kufanya»Okinawa | kwenda
沖縄/行く(→行った)
Okinawa / iku (→itta)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nimewahi/Sijawahi ~ .
~ことあります/ないです。
~koto arimasu/nai desu.
«-jawahi kufanya»tempura | kula
天ぷら | 食べる(→食べた)
tenpura | taberu (→tabeta)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nimewahi/Sijawahi ~ .
~ことあります/ないです。
~koto arimasu/nai desu.
«-mewahi kufanya»simulizi hiyo | kusikia
その話 | 聞く(→聞いた)
sono hanashi | kiku (→kiita)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Unautumia miongoni mwa wanafamilia na marafiki. Kuuliza kwa namna ya kiungwana unasema, "Shitte masu ka."
Utamaduni wa kisasa na Mike
"Manga Café"
Vitabu vya katuni za manga za Japani vina aina mbalimbali za simulizi: Mapenzi, tajiriba za kijasiri, michezo, historia, fasihi na kadhalika.
"Manga café" inaendeshwa kwa misingi ya muda, na ukilipia, unakuwa huru kusoma vitabu vingi vya manga kadiri upendavyo. Vyumba vya mtu mmoja mmoja mara nyingi vinakuwepo. Maeneo mengi yanatoa huduma ya bure ya runinga na intaneti. "Manga café" nyingi hutoa vinywaji bila ukomo kama vile juisi na chai.
Eneo la kusomea lenye nafasi kubwa
Chumba chenye raha
Kona ya vinywaji
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"