#33
Kuulizia muda unaohitajika
Kaito na Mike wamefika salama kwenye Makumbusho ya Ninja. Wameamua kujaribu kutumia silaha za ninja za shuriken.
えい!
Ei!
Haya!
どのくらい
donokurai
muda gani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
待つ
matsu
subiri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
15分
juugo-fun
dakika 15
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~くらい
~kurai
takribani ~
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わかる
wakaru
elewa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すごい
sugoi
inastaajabisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
本物
honmono
kitu halisi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
手裏剣
shuriken
silaha ya ninja ya shuriken
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
あの
ano
ile
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
的
mato
shabaha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
投げる
nageru
rusha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
えい
ei
haya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
落ちる
ochiru
anguka
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuulizia muda unaohitajika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuulizia kitu fulani kitachukua muda gani, tumia "donokurai," ambacho ni kiulizi cha kuulizia urefu wa muda, umbali au kiwango. Kinatumika sambamba na "machimasu ka" ("matsu" yaani "kusubiri") au "kakarimasu ka" ("kakaru" yaani "kuchukua").
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nitatembea umbali wa muda gani?
tembea
歩く(→歩きます)
aruku (→arukimasu)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
-ta- muda gani?
どのくらい~ますか。
Donokurai ~masu ka.
dumu
もつ(→もちます)
motsu (→mochimasu)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
-ta- muda gani zaidi?
あと、どのくらい~ますか。
Ato, donokurai ~masu ka.
kuwa nchini Japani
日本にいる(→います)
Nihon ni iru (→imasu)
Utamaduni wa kisasa na Mike
Utalii wa kujaribu kufanya vitu wakati wa kutalii
Watalii wanaweza kufurahia kujifanyia shughuli nchini Japani. Vitu maarufu ni pamoja na kuwa ninja au samurai, kujaribu kuvaa kimono, kushiriki kwenye hafla ya chai, kupanga maua au kutengeneza vitamutamu vya Kijapani.
Kuvaa kimono
Kutengeneza vitamutamu vya Kijapani
Kutengeneza sampuli ya chakula
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"