#31
Kumwambia mtu mfanye kitu pamoja -- Sehemu 2
Mike, Mmarekani anayependa utamaduni wa Kijapani, amefika kwenye "Nyumba ya Haru-san" kujadili mpango wa safari.
はい。
Hai.
Ndiyo.
今度
kondo
mara hii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
土曜日
do-yoobi
Jumamosi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
忍者
ninja

博物館
hakubutsukan
makumbusho
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
本当に
hontoo ni
kweli
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
好き(な)
suki (na)
penda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
みんなで
minna de
sote / kila mtu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
一緒に
issho ni
pamoja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ちょっと
chotto
kidogo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
私
watashi
mimi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
授業
jugyoo
darasa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ある
aru
kuwa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
残念(な)
zannen (na)
bahati mbaya sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
じゃあ
jaa
basi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
2人
futari
watu wawili
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kumwambia mtu mfanye kitu pamoja -- Sehemu 2
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kumshawishi mtu afanye kitu pamoja na wewe, badili "-masu" kwenye kitenzi cha umbo la MASU na kuwa "-masen ka" mwishoni, na kisha pandisha kiimbo. "-masen" ni umbo la kukanusha, lakini ikiwa "-masen ka," inakuwa mwaliko wa kufanya kitu pamoja. Kukubali mwaliko huo, unasema "ii desu ne" yaani "ni vizuri."
"-masen ka" na "-mashoo":
"-mashoo" pia ni usemi wa kumshawishi mtu kufanya kitu pamoja, lakini una tofauti ndogo ya kuhamasisha mtu kukubali mwaliko huo. Wakati, "-masen ka" hutumika unapotaka kuona ikiwa mtu unayemshawishi kufanya kitu nawe anaweza kuwa na nafasi ya kufanya hivyo, kwa hiyo ni usemi wa kiungwana zaidi.
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Kwa nini tusifanye tafrija ya nyama ya kubanikwa na kila mtu?
‐fanye tafrija ya nyama ya kubanikwa na kila mtu
みんなでバーベキューをする(→します)
minna de baabekyuu o suru (→shimasu)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Kwa nini tusi- ~?
~ませんか。
~masen ka.
‐imbe pamoja
一緒に歌う(→歌います)
issho ni utau (→utaimasu)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Kwa nini tusi- ~?
~ませんか。
~masen ka.
‐jaribu kufanya
やってみる(→やってみます)
yatte miru (→yatte mimasu)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Huu ni usemi wa kukataa mwaliko. "Chotto" ina maana ya "kidogo," lakini ukiinyoosha mwishoni na kudhoofisha toni yako wakati unalitamka, inaunda tofauti kwamba unakataa mwaliko kwa kusita.
Utamaduni wa kisasa na Mike
Siri za Ninja
Ninja katika kujificha
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"