#28

Kuomba ruhusa

写真を撮ってもいいですか Ninaweza kupiga picha?

  • Mazungumzo
  • Video
Tafsiri za mazungumzo
  • Kiswahili
  • Kijapani
  • Hakuna

Mi Ya amefika Kamakura. Maonyesho ya kupiga piano yanafanyika hekaluni.

Mazungumzo
Msamiati

大人

otona

mtu mzima

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

1人

hitori

mtu mmoja

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

お願いする

onegai-suru

omba

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

すみません

sumimasen

samahani (kutaka mtu akusikilize)

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

写真を撮る

shashin o toru

piga picha

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

ええ

ee

ndiyo

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

いい

ii

unaweza

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

すてき(な)

suteki (na)

safi

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

お客様

okyakusama

bwana/bibiye (kiungwana)

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

ここ

koko

hapa

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

saki

zaidi

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

遠慮する

enryo-suru

jizuia

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

すみません

sumimasen

samahani (kuomba radhi)

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Usemi wa Msingi

Kuomba ruhusa

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Ili kupata ruhusa ya kufanya kitu, uliza kwa kutumia "[kitenzi cha umbo la TE] + mo ii desu ka." "-te mo ii (desu)" ina maana ya "-naweza ku-" na inaashiria ruhusa. "Shashin o totte" ni "shashin o toru" yaani "kupiga picha" katika umbo la TE.

Jinsi ya kujibu:
Mtu akikuomba ruhusa na ukakubali, sema "Iidesu yo" yaani "Ndiyo, unaweza", "Doozo" yaani "Karibu", au "Mochiron desu" yaani "Bila shaka."

Jifunze zaidi

Tumia!
Jaribu!

Jaribu kuomba ruhusa

1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?

Ninaweza kuingia?

ingia

入る(→入って)

hairu (→haitte)

2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.

Ninaweza ku-?

~てもいいですか。

~te mo ii desu ka.

pumzika

休む(→休んで)

yasumu (→yasunde)

3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.

Ninaweza ku-?

~てもいいですか。

~te mo ii desu ka.

kaa hapa

ここに座る(→座って)

koko ni suwaru

Ongeza maarifa

Kuhesabu watu

Kanji

Tera (hekalu)

Utamaduni

Utamaduni wa kisasa na Mike

Muziki wa Kijapani

Unaweza kusikia aina tofauti tofauti ya muziki nchini Japani -- J-pop, nyimbo za katuni za anime, muziki wa enka, na muziki wa aina nyingi. Pia kuna muziki wa kitamaduni unaotumia ala za Kijapani kama kinubi cha Koto, ala yenye kamba tatu ya shamisen, na ngoma za wadaiko.

Onyesho la Koto

Onyesho la Wadaiko

Hata J-pop yenyewe ina makundi pendwa, bendi za rock, na kadhalika, ikiwahusisha wasanii mbalimbali.
Na "matamasha ya muziki" hufanyika kote nchini Japani, yakishirikisha wanamuziki wengi kutoka ndani na nje ya nchi.

Tamasha la muziki la Summer Sonic

Tamasha la muziki la Fuji Rock

Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"

Jinsi ya kutumia "kumbukumbu zangu"

Onyesha "kumbukumbu zangu"