#27
Kuulizia kipi cha kuchagua
Kaito amempeleka Tam kwenye mgahawa wa tambi za rameni. Tam anamkumbuka Yuuki, mwanafunzi wa muziki aliyekutana naye Vietnamu.
注文/ご注文
chuumon / gochuumon
agizo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
何
nani
nini
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~にする
~ni suru
amua ~
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どれ
dore
ipi / kipi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
一番~
ichiban ~
namba moja / zaidi / kabisa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おいしい
oishii
tamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
みそラーメン
miso-raamen
tambi za rameni za miso
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おすすめ
osusume
pendekezo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本
Nihon
Japani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ラーメン
raamen
tambi za rameni
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ぼく
boku
mimi (mwanamume)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
好き(な)
suki (na)
penda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuulizia kipi cha kuchagua
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuuliza kipi cha kuchagua miongoni mwa vitu kadhaa, sema "Dore ga ichiban ~ka." "Dore" yaani "ipi/kipi" ni kiulizi cha kuulizia kipi cha kuchagua miongoni mwa vitu vitatu au zaidi. "Ichiban" yaani "namba moja" ambayo huja kabla ya kivumishi inamaanisha "bora zaidi ya vyote."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ipi ni gharama nafuu zaidi?
gharama nafuu
安い
yasui
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ipi ni ~ zaidi?
どれが一番~ですか。
Dore ga ichiban ~desu ka.
yenye bajeti ndogo
お得(な)
otoku (na)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ipi ni ~ zaidi?
どれが一番~ですか。
Dore ga ichiban ~desu ka.
‐a kufurahisha
おもしろい
omoshiroi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Mhudumu husema hivi anapochukua oda kutoka kwa wateja. "Chuumon" ina maana ya "agizo" na "go" imeambatanishwa kabla ili kuonesha heshima kwa mteja.
Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!
Tambi za rameni za Kijapani
Asili ya tambi za rameni ni China, lakini zimefanyiwa mabadiliko ya kipekee nchini Japani. Zimekuwa mojawapo ya vyakula vinavyoiwakilisha Japani.
Tambi za rameni za supu yenye sosi ya soya
Tambi za rameni za supu ya mifupa ya nguruwe
Tambi za rameni za supu ya miso
Tambi za rameni zinaweza kuandaliwa pamoja na supu kama vile ya kuku, mifupa ya nguruwe na chakula cha baharini. Rojo la maharage ya miso, chumvi, sosi ya soya na viambato vingine vinaongeza ladha. Vyakula vya maeneo mengi ya Japani vina ladha ya aina yake. Kama kuna chakula usichoweza kukila, hakikisha unaulizia viambato. Baadhi ya migahawa ya tambi za rameni ina viambato vya "Halal", visivyo na mzio, au vyakula vya wanaokula mbogamboga pekee.
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"