#26
Kuelezea fikra zako mbalimbali -- Sehemu 1
Tam na wapangaji wenziwe wamefika kwenye bustani kwa ajili ya kutazama maua ya mcheri.
きれい!
Kiree!
Kizuri!
いいねえ。
Ii nee.
Ni vizuri.
弁当/お弁当
bentoo / obentoo
chakula cha mchana kilichofungashwa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ぼく
boku
mimi (mwanamume)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
作る
tsukuru
andaa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どうぞ
doozo
tafadhali
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
きれい(な)
kiree (na)
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すごい
sugoi
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いただきます
itadakimasu
tule
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
卵焼き
tamago-yaki
kimanda cha Kijapani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
甘い
amai
tamu (-enye sukari)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おいしい
oishii
tamu (ladha nzuri)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
本当に
hontoo ni
kweli
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
料理
ryoori
mapishi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
上手(な)
joozu (na)
ujuzi mkubwa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
シェフ
shefu
mpishi mkuu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~になる
~ni naru
kuwa ~
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea fikra zako mbalimbali -- Sehemu 1
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kutumia vivumishi viwili au zaidi kwa pamoja, kwa kivumishi cha I, ondoa "-i" mwishoni na weka "-kute," kisha unganisha na kivumishi kingine. ("kitamu" "amai"→"amakute") Kwa kivumishi cha NA ondoa "-na" mwishoni na weka "-de." ("kizuri" "kiree (na)"→"kiree de")
Jinsi ya kuelezea fikra zako:
Katika mazungumzo, Tam anawaelezea wenzake kiungwana vitu alivyofikiria kwa kusema "Kono tamago-yaki, amakute oishii desu." yaani "Hiki kimanda cha Kijapani ni kitamu na kina ladha nzuri." Ili kuelezea ulichovutiwa mara tu ukikiona, unasema bila ya "desu" mwishoni kama hivi "Kono tamago-yaki, amakute oishii!"
Ukitaka kumshirikisha mtu ulichovutiwa nacho kwa namna fulani, ongeza "ne" mwishoni mwa sentensi ili kutafuta kukubaliana, kama ilivyo kwenye sentensi hii "Kono tamago-yaki, amakute oishii desu ne." yaani "Hiki kimanda cha Kijapani ni kitamu na kina ladha nzuri, sivyo?"
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ni ndogo na nzuri, sivyo?
ndogo | nzuri
小さい | かわいい
chiisai | kawaii
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ni [kivumishi 1] na [kivumishi 2] (, sivyo?)
【kivumishi 1】くて/で【kivumishi 2】です(ね)。
【kivumishi 1】kute/de【kivumishi 2】 desu (ne).
kwenda na muda | rahisi kutumia
正確(な) | 便利(な)
seekaku (na) | benri (na)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ni [kivumishi 1] na [kivumishi 2] (, sivyo?)
【kivumishi 1】くて/で【kivumishi 2】です(ね)。
【kivumishi 1】kute/de【kivumishi 2】 desu (ne).
inavutia | nzuri
豪華(な) | 美しい
gooka (na) | utsukushii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ni neno lenye maana pana linalotumika wakati unapomkaribisha mtu mlo au unapompatia mtu ruhusa. Pia linatumika wakati unapompa mtu kitu.
Ushauri wa Haru-san
Twende "Ohanami"!
"Ohanami" ni desturi ya wakati wa msimu wa machipuo ya kutazama maua ya micheri. Watu huzungukazunguka, hukaa chini ya miti ili kula chakula cha mchana walichofungasha kutoka nyumbani au mgahawani. Maua ya mcheri huchanua kuanzia mwezi wa Machi hadi mwezi Mei, yakiipamba Japani kuanzia kusini hadi kaskazini. Pia inavutia kuiangalia miti ya micheri inayoangazwa wakati wa usiku.
[1] Kasri la Himeji na maua ya micheri (Mkoa wa Hyogo)
[2] Miharu Takizakura (Mkoa wa Fukushima)
[3] Tokyo Midtown
Ohanami
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"