#25
Kusema hujihisi vizuri
Tam anaonekana kutojihisi vizuri. Sensa ya Haru-san inabaini tatizo.
顔色が悪い
kaoiro ga warui
dhoofika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
のど
nodo
koo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
痛い
itai
uma
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おやおや
oya oya
oh jamani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そんな
sonna
kama huo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~とき
~toki
wakati ~
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
しょうがはちみつ湯
shooga-hachimitsu-yu
chai ya tangawizi na asali
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
今
ima
sasa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
作る
tsukuru
andaa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
できる
dekiru
kuwa tayari
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どうぞ
doozo
karibu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
お大事に
odaiji ni
ugua pole
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kusema hujihisi vizuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea hali yako, kama vile hujihisi vizuri, weka "~n desu" mwishoni mwa sentensi. Ikiwa sehemu ya mwili wako inauma, tumia kivumishi cha I "itai" yaani "-uma" na kisha sema "[sehemu ya mwili] ga itain desu." Kiunganishi "ga" kinaonesha sehemu ya mwili inayouma.
Kuulizia hali ya kiafya ya mtu:
Ili kumuuliza mtu anayeonekana kuumwa au tofauti na kawaida, sema "Doo shitan desu ka" yaani "Una tatizo gani?"
Semi zinazoelezea hali ya kiafya:
Kuna semi mbalimbali za kutumia kusema hujihisi vizuri.
"Nodo/atama/onaka ga itai" yaani "koo/kichwa/tumbo -inauma" na "kimochi ga warui" yaani "kuhisi kuumwa" tumia vivumishi vya I. "Netsu ga aru" yaani "kuwa na homa" na "memai ga suru" yaani "kuhisi kizunguzungu" yote tumia vitenzi.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Tumbo langu linauma.
Tumbo langu linauma.
お腹が痛い
onaka ga itai
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
~ -angu -inauma. / Nahisi ~.
~んです。
~n desu.
Nahisi kuumwa.
気持ちが悪い
kimochi ga warui
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
~ -angu -inauma. / Nahisi ~.
~んです。
~n desu.
Nahisi kizunguzungu.
めまいがする
memai ga suru
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Hutumika wakati unapomjali mtu anayeumwa au ameumia, ukitumai kwamba mtu huyo atapumzika na kupona punde.
Ushauri wa Haru-san
Ukiugua nchini Japani…
Ikiwa dalili za kuumwa si mbaya sana, famasi na maduka ya dawa yanafaa. Ukimwelezea mhudumu wa famasi dalili unazohisi, atakuonesha dawa unayohitaji kutumia.
Mfuko wa dawa kulingana na maelezo ya daktari
[1] Dawa
[2] Jina la mgonjwa
[3] Mara tatu kwa siku
[4] Baada ya kifunguakinywa, chakula cha mchana, na chakula cha jioni
[5] Kidonge kimoja mara moja
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"