#24
Kuelezea usichoweza kukila
Kwenye Nyumba ya Haru-san, Kaito ametayarisha kifunguakinywa cha kawaida cha Kijapani kwa ajili ya kila mtu.
いただきます
itadakimasu
tule
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本食
Nihon-shoku
chakula cha Kijapani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
健康
kenkoo
afya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
これ
kore
hili
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
生卵
nama-tamago
yai bichi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すみません
sumimasen
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
私
watashi
mimi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
食べる
taberu
kula
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そう
soo
kumbe
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
じゃあ
jaa
hivyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
納豆
nattoo
maharage ya soya yaliyosindikwa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
だめ(な)
dame (na)
kutopenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大好き(な)
daisuki (na)
penda sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea usichoweza kukila
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea chakula usichoweza kula, sema, "[chakula] wa taberaremasen" yaani "siwezi kula [chakula]." "Taberaremasen" ni umbo la kiungwana la kukanusha la "taberareru," ambacho ni kitenzi cha umbo la uwezekano la "taberu" yaani "kula."
Elezea usichoweza kunywa:
Ili kuelezea kitu usichoweza kunywa, tumia kitenzi "nomu" yaani "kunywa" katika umbo la uwezekano, ambalo ni "nomeru," na badilisha kitenzi kiwe katika umbo la kiungwana la kukanusha na sema "[kinywaji] wa nomemasen" yaani "siwezi kunywa ~."
Kiunganishi "wa"/"ga":
Katika mazungumzo ya somo hili, chakula ambacho Tam anakizungumzia kipo mbele yake, kwa hiyo kiunganishi cha mada "wa" kinatumika kama kwenye "~ wa taberaremasen." Kwa upande mwingine, ikiwa unataka kusema hauwezi kula kitu kwa mara ya kwanza na chakula hakipo karibu nawe, tumia kiunganishi "ga" ili kusema "[chakula] ga taberaremasen" yaani "siwezi kula ~."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Samahani. Siwezi kula kamba.
kamba
えび
ebi
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Siwezi kula ~.
すみません。私、~は食べられません。
Sumimasen. Watashi, ~wa taberaremasen.
nyama ya nguruwe
豚肉
butaniku
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Siwezi kunywa ~.
すみません。私、~は飲めません。
Sumimasen. Watashi, ~wa nomemasen.
pombe | siwezi kunywa
お酒
osake
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ni kitu wanachosema watu kabla ya kula. Usemi huo unaelezea shukrani kwa walioandaa mlo. Mlo ukimalizika, ni desturi kusema "gochisoosama deshita."
Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!
Kifunguakinywa cha Kijapani
Kifunguakinywa cha kawaida nchini Japani ni mtindo wa Kijapani, kawaida huwa bakuli la wali, supu ya miso na samaki wa kuchomwa. Watu wengi siku hizi wanakula mlo wa mtindo wa Kimagharibi, wenye mkate, mayai na kahawa.
Kifunguakinywa cha mtindo wa Kijapani
Kifunguakinywa cha mtindo wa Kimagharibi
Hoteli hutoa kifunguakinywa chenye milo mbalimbali, ikiwa pamoja na bafe.
Bafe ya kifunguakinywa
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"