#22
Kumwambia mtu mfanye kitu pamoja -- Sehemu 1
Tam, Mi Ya na Kaito wapo mbele ya sanamu kubwa ya theluji kwenye tamasha la theluji huko Sapporo.
いいね。
Iine.
Wazo zuri.
すごい
sugoi
inastaajabisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
見る
miru
tazama
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わあ
waa
wow
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大きい
ookii
kubwa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
初めて
hajimete
mara ya kwanza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どうやって
doo yatte
kwa namna gani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
作る
tsukuru
tengeneza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
きれい(な)
kiree (na)
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
みんなで
minna de
pamoja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
写真を撮る
shashin o toru
piga picha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kumwambia mtu mfanye kitu pamoja -- Sehemu 1
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kumwambia mtu kufanya kitu na wewe, badilisha "masu" mwishoni mwa kitenzi cha umbo la MASU kwa kuweka "mashoo." Kitenzi katika "shashin o toru" yaani "kupiga picha" ni "toru." Na umbo la MASU la kitenzi hicho ni "torimasu," ambacho kinanyambulika kuwa "torimashoo."
Kukubali mwaliko:
Ukitaka kukubali mwaliko, unaweza kusema "ii desu ne" yaani "hivyo ni vizuri."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Twende kwenye mnara wa saa.
ende kwenye mnara wa saa
時計台に行く(→行きます)
tokeedai ni iku (→ikimasu)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Tu- ~.
~ましょう。
~mashoo.
pumzike kidogo
ちょっと休む(→休みます)
Chotto yasumu (→yasumimasu)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Tu- ~.
~ましょう。
~mashoo.
rudi nyumbani kwa teksi
タクシーで帰る(→帰ります)
takushii de kaeru (→kaerimasu)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Usemi huo unatumika unaposhangazwa, kuvutiwa au kuguswa na kitu. Pia unaweza kusema "sugoi desu ne" ili uwe kiungwana zaidi.
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Eneo maarufu la kitalii: Hokkaido
Hokkaido inawavutia watalii wengi kutokana na uzuri wake, mazingira makubwa ya asili. Wanyama wengi wa porini wanaishi kwa uhuru katika eneo la Shiretoko, eneo la urithi wa dunia lililochaguliwa na UNESCO. Katika msimu wa baridi, unaweza kufurahia matamasha ya theluji na michezo ya msimu huo kama kuteleza kwenye theluji.
Katika bustani ya wanyama ya Asahiyama kwenye eneo la Asahikawa, unaweza kuona pengwini wakitembea katika mstari kwenye theluji.
[1] Tamasha la Theluji la Sapporo
[1] Mnara wa saa wa Sapporo
[2] Dubu wa porini wa kahawia
[3] Pengwini wakitembea katika bustani ya wanyama ya Asahiyama
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"