#21
Kueleza mahali ulipo
Tam na Mi Ya wapo Hokkaido. Wanakutana na Kaito kwenye Mnara wa Saa wa Sapporo.
え、中?
E, naka?
Oh, ndani?
もしもし
moshimoshi
halo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
今
ima
sasa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どこ
doko
wapi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いる
iru
‐po / kuwa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
時計台
tokeedai
mnara wa saa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
中
naka
ndani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
じゃあ
jaa
basi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ぼく
boku
mimi (mwanamume)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すぐ
sugu
sasa hivi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そっち
socchi
huko
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わかる
wakaru
elewa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
こっち
kocchi
hapa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ごめん
gomen
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
遅くなる
osoku naru
kuchelewa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kueleza mahali ulipo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kumwambia mtu mahali ulipo, sema "[mahali] ni imasu." Ili kutoa maelezo sahihi zaidi, tumia jina la alama maarufu ya eneo na sema "[alama maarufu] no [mahali] (k.m., "tokeedai no naka" yaani "ndani ya mnara wa saa") ni imasu."
"Imasu" na "Arimasu":
"Imasu" ni umbo la MASU la kitenzi "iru" yaani "-po/kuwa" na hutumika kwa watu na viumbehai. (k.m., "Watashi wa Hokkaido ni imasu." yaani "Nipo Hokkaido.") Kwa upande mwingine, "arimasu" ni umbo la MASU la kitenzi "aru" yaani "-ipo/kuwa" na hutumika kwa vitu. (k.m., "Omamori wa otera ni arimasu." yaani "hirizi zipo kwenye hekalu.”)
Maneno yanayoashiria mahali:
Maneno yanayoashiria mahali ni pamoja na "naka" yaani "ndani ya," "mae" yaani "mbele ya," "yoko" yaani "pembeni ya," na "shita" yaani "chini ya."
Kuuliza mahali ambayo mtu yupo:
Ukitaka kuuliza mtu yupo mahali gani, sema "doko ni imasu ka" yaani "upo wapi?"
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nipo ndani ya duka la saa 24.
duka la saa 24 | ndani ya
コンビニ | 中
konbini | naka
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nipo [mahali] [alama maarufu].
【alama maarufu】の【mahali】にいます。
【alama maarufu】 no【mahali】 ni imasu.
kituo cha taarifa | pembeni ya
インフォメーション | 横
infomeeshon | yoko
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nipo [mahali] [alama maarufu].
【alama maarufu】の【mahali】にいます。
【alama maarufu】 no【mahali】 ni imasu.
ngazi za umeme | chini ya
エスカレーター | 下
esukareetaa | shita
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ni usemi wa kuelezea kwamba umeelewa kilichosemwa na mzungumzaji. Unatokana na kitenzi "wakaru" yaani "kuelewa."
Ushauri wa Haru-san
Maduka ya Saa 24
Maduka mengi ya saa 24 nchini Japani hufunguliwa siku zote za juma, saa 24. Yanauza vitu mbalimbali kama mlo wa kwenye makasha, sandwichi, vitamutamu, vinywaji pamoja na mahitaji ya kila siku. Unaweza pia kutoa pesa katika mashine zao za ATM na kuchukua tiketi za matamasha ulizoshikia nafasi mtandaoni.
Mashine ya huduma nyingi
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"