#20
Kumwomba mtu asiweke kitu fulani kwenye chakula chako
Tam na Mi Ya wapo Sapporo, Hokkaido. Wanaingia mgahawani kufurahia chakula cha baharini.
おすすめ
osusume
pendekezo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
何
nan
nini
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
この
kono
hii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
スペシャル~
supesharu~
~ maalum
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
海鮮丼
kaisen-don
bakuli la chakula cha baharini
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
イクラ
ikura
mayai ya samaki samoni
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ウニ
uni
mashanuo wa baharini
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
たっぷり
tappuri
jaa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
入る
hairu
-imo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
じゃあ
jaa
basi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
それ
sore
hiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ください
kudasai
tafadhali / nipe
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
私
watashi
mimi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わさび
wasabi
kiungo cha wasabi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
入れる
ireru
kuweka ndani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~抜き
~nuki
bila
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そちら
sochira
wewe (kiungwana)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
たくさん
takusan
tele
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kumwomba mtu asiweke kitu fulani kwenye chakula chako
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kumwomba mtu asiweke kitu fulani kwenye chakula chako au kinywaji, tumia "[kitenzi cha umbo la NAI] + de kudasai."
Umbo la NAI ni aina ya unyambulishaji unaoishia na "nai" na ni usemi wa kukanusha. Umbo la NAI la "ireru" yaani "kuweka" ni "irenai."
Kiunganishi "wa":
Unapomwomba mtu asiweke kitu fulani kwenye chakula chako, ongeza kiunganishi cha mada "wa" kwenye kitu hicho kama kwenye "~ wa irenaide kudasai."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Tafadhali usimimine sosi.
sosi | mimine
ドレッシング | かける(→かけない)
doresshingu | kakeru (→kakenai)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Tafadhali usi- [kitu usichopenda].
【kitu usichopenda】は~ないでください。
【kitu usichopenda】wa ~naide kudasai.
pilipili | tumie
唐辛子 | 使う(→使わない)
toogarashi | tsukau (→tsukawanai)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Tafadhali usi- [kitu usichopenda].
【kitu usichopenda】は~ないでください。
【kitu usichopenda】wa ~naide kudasai.
vitunguu vya majani | weke
ねぎ | 入れる(→入れない)
negi | ireru (→irenai)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Usemi huo hutumika ili kuuliza katika migahawa nini pendekezo lake. "Osusume" inamaanisha "pendekezo."
Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!
Furahia chakula cha baharini kutoka Hokkaido!
Hokkaido imezungukwa na bahari ya Japani, Bahari ya Okhotsk, na Bahari ya Pasifiki, na kufanya sekta yake ya uvuvi kubarikiwa na vyakula vya baharini kama vile kaa, ngisi, samaki samoni, mayai ya samoni na kadhalika.
Kula chakula cha baharini kilichovuliwa punde katika maeneo kama masoko ya asubuhi ni moja ya sehemu za kufurahisha za safari za Hokkaido.
Soko la asubuhi la Hakodate
Vyakula mbalimbali vya baharini
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"