#19
Kusema unachotaka kununua
Tam anapanga kwenda Hokkaido na Mi Ya na Kaito. Ili kujiandaa kwa safari hiyo, amekuja kununua glavu.
あのう
anoo
ah... / um
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すみません
sumimasen
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
手袋
tebukuro
glavu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
欲しい
hoshii
hitaji / taka
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
こちら
kochira
hapa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
これ
kore
hii / hizi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
あったかい
attakai
joto
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
nzuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いくら
ikura
bei gani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
1,900円
sen-kyuuhyaku-en
yeni 1,900
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
カード
kaado
kadi ya mkopo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
使う
tsukau
tumia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kusema unachotaka kununua
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kumwambia mhudumu unachotaka kununua, sema "[bidhaa] ga hoshiin desu ga." Kwa kuweka "n desu ga" baada ya "hoshii" yaani "-taka/hitaji," unaweza kuelezea hali yako kwa mtu unayezungumza naye na kumfanya mtu huyo ajibu. Dhoofisha toni yako ukiwa unapunguza kiimbo chako mwishoni mwa sentensi.
Kiashiria cha shamirisho, kiunganishi "ga":
"Hoshii" yaani "hitaji/taka" ni kivumishi cha I. Ili kuashiria unachotaka (shamirisho), unaweka kiunganishi "ga" kama kwenye "tebukuro ga hoshii" yaani "nahitaji jozi ya glavu." Ili kuonesha shamirisho ya kitenzi, tumia kiunganishi "o" kama katika "tebukuro o kaimasu" yaani "nitanunua jozi ya glavu." Hivyo tofautisha.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ah, samahani. Nahitaji kitambaa cha kufungashia kifurushi cha kitamaduni.
kitambaa cha kufungashia kifurushi cha kitamaduni
風呂敷
furoshiki
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ah, samahani. Nahitaji ~.
あのう、すみません。~が欲しいんですが。
Anoo, sumimasen. ~ga hoshiin desu ga.
mwavuli
傘
kasa
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ah, samahani. Nahitaji ~.
あのう、すみません。~が欲しいんですが。
Anoo, sumimasen. ~ga hoshiin desu ga.
betri
電池
denchi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tumia usemi huo unapotaka kujua ikiwa unaweza kutumia kadi ya mkopo wakati wa kulipa. "Tsukaeru" yaani "weza kutumia" ni umbo la uwezekano la neno "tsukau" yaani "kutumia."
Ushauri wa Haru-san
Kadi za Mkopo nchini Japani
Idadi ya maduka yanayokubali kadi za mkopo au namna zingine za malipo mbali na kulipa pesa taslimu inaongezeka nchini Japani.
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"