#13
Kusema unachotaka kufanya
Tam anazungumza na mwenyenyumba roboti, Haru-san pamoja na Mi Ya mpigapicha katika sebule ya "Nyumba ya Haru-san."
はい。
Hai.
Ndiyo.
おや?
Oya?
Oh!
日本
Nihon
Japani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
慣れる
nareru
zoea
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どんな
donna
ya aina gani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
こと
koto
kitu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
する
suru
fanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ええと
eeto
aah
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
雪
yuki
theluji
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
見る
miru
tazama
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
北海道
Hokkaidoo
Hokkaido
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
vizuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
あと
ato
pia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
友達
tomodachi
rafiki
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
会う
au
ona
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おや
oya
oh
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大丈夫(な)
daijoobu (na)
kuwa sawa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
顔が赤い
kao ga akai
uso kuwa mwekundu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kusema unachotaka kufanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kusema unachotaka kufanya, badili "masu" katika kitenzi cha umbo la MASU kuwa "tai." "Mitai" ni umbo la TAI la "mimasu" ("miru" yaani "kutazama"). "Desu" mwishoni hufanya sentensi kuwa ya kiungwana. Ili kuashiria kitu unachotaka kufanya, tumia kiunganishi "o" au "ga."
Kuuliza kile mtu anachotaka kukifanya:
Ili kuuliza kile mtu anachotaka kukifanya, sema "Nani/Donna koto ga shitai desu ka" yaani "Nini/Vitu vya aina gani unataka kufanya?" "Shitai" ni umbo la TAI la "shimasu" ("suru" inamaana ya "kufanya").
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nataka kwenda Hekalu la Kinkakuji.
Hekalu la Kinkakuji | kwenda
金閣寺 | 行きます(行く)
Kinkakuji | ikimasu (iku)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nataka ku- ~.
~たいです。
~tai desu.
yukata | nunua
浴衣 | 買います(買う)
yukata | kaimasu (kau)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nataka ku- ~.
~たいです。
~tai desu.
kutazama maua ya mcheri | fanya
お花見 | します(する)
ohanami | shimasu (suru)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Usemi huo unatumika unapomjali mtu fulani. Namna ya kiungwana zaidi itakuwa "daijoobu desu ka."
Ushauri wa Haru-san
Nyumba za Kijapani
Nyumba za Kijapani zina vyumba vya mtindo wa Kijapani na mtindo wa Kimagharibi. Katika vyumba vya mtindo wa Kijapani, sakafu ni mikeka ya tatami iliyotengenezwa kwa mabua. Watu huketi kwenye mito ya sakafuni na kutumia meza zilizo chinichini na wanalala kwenye magodoro ya futon wanayoyatandika kwenye mkeka wa tatami moja kwa moja.
Chumba cha mtindo wa Kijapani
Chumba cha mtindo wa Kimagharibi
Vyumba vya mtindo wa Kimagharibi vina sakafu ya mbao au zulia, na watu mara nyingi hutumia meza na viti. Vyumba hivyo kwa sasa vimekuwa maarufu. Nyumba nyingi zinatumia mitindo yote miwili kwa pamoja.
Magodoro ya futon
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"