#12

Kuelezea kuvutiwa kwako na kuelezea vitu -- Sehemu 1

かわいいお守りですね Hii ni hirizi nzuri, sivyo?

  • Mazungumzo
  • Video
Tafsiri za mazungumzo
  • Kiswahili
  • Kijapani
  • Hakuna

Tam na Mi Ya, mpigapicha kutoka China wapo kwenye Hekalu la Sensoji katika eneo la Asakusa jijini Tokyo. Wapo kwenye sehemu inayouza hirizi.

Mazungumzo
Msamiati

これ

kore

hii

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

かわいい

kawaii

nzuri

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

お守り

omamori

hirizi

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

本当

hontoo

kweli

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

いい

ii

nzuri

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

それ

sore

hiyo

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

縁結び

enmusubi

pata mwenzi

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

800円

happyaku-en

yeni 800

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

~になる

~ni naru

inagharimu ~

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

恋人

koibito

mpenzi

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

できる

dekiru

pata

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

じゃあ

jaa

basi

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

ください

kudasai

tafadhali nipatie

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Usemi wa Msingi

Kuelezea kuvutiwa kwako na kuelezea vitu -- Sehemu 1

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Vivumishi huwekwa kabla ya nomino ambazo vinazivumisha, kama katika "kawaii omamori" yaani "hirizi nzuri." Sentensi inaweza pia kuishia na kivumishi. Vivumishi vinavyoishia na "i," kama vile "kawaii" yaani "nzuri," vinaitwa vivumishi vya I.

Vivumishi katika Kijapani:
Vivumishi vipo vya aina mbili: Vivumishi vya I vinavyoishia na "i" na Vivumishi vya NA vinavyoishia na "na." Tumejifunza vile vya I katika somo hili. Tutajifunza kuhusu vya NA katika somo la 16.

Tumia!
Jaribu!

Jaribu kuelezea kuvutiwa kwako

1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?

Ni kubwa, sivyo?

kubwa

大きい

ookii

2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.

Ni [kivumishi cha I], sivyo?

kivumishi cha I】ですね。

【kivumishi cha I】 desu ne.

ghali

高い

takai

3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.

Ni [kivumishi cha I], sivyo?

kivumishi cha I】ですね。

【kivumishi cha I】 desu ne.

baridi

寒い

samui

Usemi wa ziada

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Sauti za watu

Sema hivi na oneshea kitu unachotaka katika mgahawa au duka.

Kanji

Kinniku (msuli)

Utamaduni

Mwongozo wa safari wa Mi Ya

Mahekalu ya Shinto na ya kibuddha nchini Japani

Unaweza kuona mahekalu kote nchini Japani. Miungu ya Shinto kwa muda mrefu imekuwa ikiabudiwa kwenye mahekalu ya dini hiyo. Mahekalu ya kibuddha hutumiwa na dini hiyo. Mahekalu ya dini hizo ni maarufu miongoni mwa watalii pia. Yaliyo maarufu zaidi ni pamoja na Hekalu la Kibuddha la Sensoji na Zojoji, na lile la Shinto la Meiji Jingu jijini Tokyo.

Lango la Helaku la Meiji Jingu

Hekalu la Zojoji

Hekalu la Shinto la Izumo Taisha katika mkoa wa Shimane, linajulikana kama eneo la visasili, na Hekalu la Todaiji mkoani Nara lenye sanamu kubwa ya Kibuddha pia linajulikana sana.

Hekalu la Izumo Taisha

Sanamu kubwa ya Kibuddha katika Hekalu la Todaiji

Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"

Jinsi ya kutumia "kumbukumbu zangu"

Onyesha "kumbukumbu zangu"