#6
Kuulizia usafiri wa umma unakoelekea
Ni siku ya kwanza ya Tam kwenda katika chuo kikuu chake. Yupo kwenye kituo cha treni, lakini hana uhakika kama treni hiyo anayotaka kupanda ndiyo sahihi.
はい。
Hai.
Ndiyo.
いいえ、行きません。
Iie, ikimasen.
Hapana, haiendi.
3番線です。
San-ban-sen desu.
Sehemu namba tatu ya kusubiria treni.
すみません
sumimasen
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
この
kono
hii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
電車
densha
treni
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
池袋
Ikebukuro
Ikebukuro
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いいえ
iie
hapana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
山手線
Yamanote-sen
reli ya Yamanote
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どこ
doko
wapi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
3
san
tatu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~番線
~ban-sen
sehemu namba ~ ya kusubiria treni
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わかる
wakaru
elewa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ありがとうございます
arigatoo gozaimasu
asante sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuulizia usafiri wa umma unakoelekea
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuulizia usafiri wa umma unakoelekea, sema "Kono [usafiri] wa [mahali] ni ikimasu ka." "Kono" inamaanisha "hii" na huwa kabla ya nomino. Inaonesha unaulizia usafiri ulio mbele yako. Kiunganishi "ni" kinaonesha mahali unapoelekea. "Ikimasu" ni kitenzi cha "iku" yaani "kwenda" katika umbo la MASU.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Basi hili linakwenda uwanja wa ndege?
basi | uwanja wa ndege
バス | 空港
basu | kuukoo
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
[Usafiri] hii inakwenda [mahali]?
この【usafiri】は【mahali】に行きますか。
Kono 【usafiri】 wa 【mahali】 ni ikimasu ka.
treni | Shinjuku
電車 | 新宿
densha | Shinjuku
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
[Usafiri] hii inakwenda [mahali]?
この【usafiri】は【mahali】に行きますか。
Kono 【usafiri】 wa 【mahali】 ni ikimasu ka.
treni iendayo kasi ya Shinkansen | Hiroshima
新幹線 | 広島
Shinkansen | Hiroshima
Jifunze zaidi
Ushauri wa Haru-san
Mfumo wa reli nchini Japani
Mfumo wa reli nchini Japani umeenea kote nchini. Majiji makubwa hasa yamesheheni njia za treni, ikiwa pamoja na njia za treni za chini ya ardhi. Pia yameunganishwa na treni ziendazo kasi za Shinkansen na treni zisizosimama kila kituo, zinazofanya usafiri wa umbali mrefu kutokuwa na usumbufu.
Mfumo wa reli wa Japani una njia nyingi
Ili kununua tiketi, kwanza angalia nauli katika orodha ya bei za nauli na kisha, weka pesa katika mashine ya tiketi. Kama unatumia kadi ya IC ya malipo ya kabla, unaweza kugusa tu katika lango la tiketi wakati wa kuingia na kutoka. Nauli inakatwa moja kwa moja.
Lakini kuwa mwangalifu nyakati za watu wengi ambapo vituo na treni hufurika watu.
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"