#3
Kutaja unakotokea
Karamu ya ukaribisho inafanywa kwa ajili ya Tam, mwanafunzi kutoka Vietnamu, katika nyumba anayoishi. Kaito ameandaa meza iliyosheheni vyakula.
たくさん
takusan
kingi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
食べる
taberu
kula
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ベトナム
Betonamu
Vietnamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
来る
kuru
kuja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
中国
Chuugoku
China
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
写真家
shashinka
mpigapicha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ぼく
boku
mimi (mwanamume)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
学生
gakusee
mwanafunzi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わたくし
watakushi
mimi (kiungwana)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大家
ooya
mwenyenyumba
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
何でも
nan de mo
chochote
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
知っている
shitte iru
fahamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そうですか
soo desu ka
kumbe
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
よろしくお願いします
yoroshiku onegai-shimasu
Tuendelee kuwa na ushirikiano mwema.
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kutaja unakotokea
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kusema unakotokea, taja "[sehemu] kara kimashita." "Kara" ni kiunganishi kinachoonesha mwanzo au sehemu yako ya asili unayotokea. "Kimashita" ni wakati uliopita wa kitenzi "kuru" yaani "kuja." Unaweza kubadili kitenzi hicho kwa kuweka "desu" na kusema "Betonamu kara desu" yaani "Ninatokea Vietnamu."
Ili kumuuliza mtu anakotokea, sema "Dochira kara desu ka" yaani "Unatokea wapi?" "Dochira" ni kiulizi chenye maana ya "wapi" na ni neno la kiungwana zaidi kuliko "doko."
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Ninatokea Thailand.
Thailand
タイ
Tai
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ninatokea ~.
~から来ました。
~kara kimashita.
Brazili
ブラジル
Burajiru
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ninatokea ~.
~から来ました。
~kara kimashita.
Urusi
ロシア
Roshia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Huo ni mwitikio wa kuonesha kuwa unaelewa kile ambacho mtu unayezungumza naye amekiongea. Hakikisha haupandishi kiimbo chako mwishoni mwa sentensi hiyo.
Ushauri wa Haru-san
Jinsi ya kusalimia watu nchini Japani
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"