NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Namna ya kuunda vitenzi vya umbo la TE - Sehemu ya 1 (Somo la 8)

Nyenzo za kujifunzia

Namna ya kuunda vitenzi vya umbo la TE - Sehemu ya 1 (Somo la 8)

umbo la MASU umbo la TE
TABEMASU
(kula)
TABETE
OBOEMASU
(kukumbuka)
OBOETE
MIMASU
(kuangalia)
MITE
KIMASU
(kuja)
KITE
SHIMASU
(kufanya)
SHITE
BENKYÔ SHIMASU
(kusoma)
BENKYÔ SHITE

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.