Nyenzo za kujifunzia
Tarehe (Somo la 27)
TSUITACHI | mosi |
---|---|
FUTSUKA | mbili |
MIKKA | tatu |
YOKKA | nne |
ITSUKA | tano |
MUIKA | sita |
NANOKA | saba |
YÔKA | nane |
KOKONOKA | tisa |
TÔKA | kumi |
JÛICHINICHI | kumi na moja |
---|---|
HATSUKA | ishirini |
NIJÛYOKKA | ishirini na nne |
Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.