Nyenzo za kujifunzia
Umbo la wakati uliopita la vivumishi (Somo la 19)
Vivumishi vya I | Umbo la wakati uliopita |
---|---|
URESHII (kufurahi) |
URESHIKATTA |
OMOSHIROI (kuvutia) |
OMOSHIROKATTA |
ISOGASHII (kuwa na shughuli nyingi) |
ISOGASHIKATTA |
YASUI (bei rahisi) |
YASUKATTA |
KAWAII (kupendeza) |
KAWAIKATTA |
ÔKII (kubwa) |
ÔKIKATTA |
OISHII (tamu) |
OISHIKATTA |
II (nzuri) |
YOKATTA |
Vivumishi vya NA | Umbo la wakati uliopita |
---|---|
DAIJÔBU (kutokuwa na shida) |
DAIJÔBUDATTA |
JÔZU (mzuri kwa) |
JÔZUDATTA |
GENKI (kuwa na afya) |
GENKIDATTA |
SUKI (kupenda) |
SUKIDATTA |
YÛMEI (maarufu) |
YÛMEIDATTA |
Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.