NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Faida za kujifunza Kijapani kupitia NHK WORLD
Faida za kujifunza Kijapani kupitia NHK WORLD
Jifunze Kijapani kupitia NHK WORLD!!
Faida 6 muhimu za kujifunza!!
- Anza Kujifunza Kijapani sasa hivi kwenye mtandao bure!
- Kwa kutumia Jifunze Kijapani ya NHK WORLD, unaweza kujifunza jinsi ya kuzungumza Kijapani kwa urahisi. Anza kujifunza jinsi ya kuzungumza Kijapani kupitia mtandao bure!
- Masomo mbalimbali yanaanza kwa misingi! Ni rahisi kwa watoto kujifunza pia
- Masomo ni mafupi na rahisi kuelewa, kwa hivyo hata watoto wanaweza kusoma bila kuchoka.
- Jifunze vizuri kwa kutumia faili za sauti za Wajapani
- Wakati unajifunza namna ya kuzungumza lugha mpya, ni muhimu kusikiliza matamshi ya wazungumzaji halisi na kufanya mazoezi kuigiza jinsi wanavyozungumza.
- Njia rahisi na ya haraka kujifunza
- Kwa kutumia NHK WORLD unaweza kujifunza Kijapani popote uliko. Chagua somo unalotaka kutoka kwenye orodha ya masomo.
- Unaweza kutafuta na kuhifadhi masomo kwenye MP3 yako
- Unaweza kutafuta na kuhifadhi masomo kwenye MP3 yako na kuyasikiliza wakati ukiwa njiani kuelekea kazini au shuleni.
- Unaweza hata kutafuta na kuhifadhi maandishi kama mfumo wa PDF
- Kama ukitafuta na kuhifadhi maandishi kwa PDF, unaweza kusoma maudhui ya masomo yote mara moja.
RSS
Kuangalia zaidi
Bookmark
![[Bure] Kutafuta na kuhifadhi masomo (Sauti /Maandishi)](../../images/btn_dl.png)