#45
Kufanya ombi kiungwana
Tam anaonekana kuwa na ombi. Anamwomba mwenyenyumba roboti Haru-san.
お願い
onegai
ombi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ある
aru
nina
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
メール
meeru
baruapepe
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本語
Nihongo
lugha ya Kijapani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
チェックする
chekku-suru
angalia usahihi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
haina shida
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どれどれ
dore dore
hebu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
元気(な)
genki (na)
afya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
私
watashi
mimi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大丈夫(な)
daijoobu (na)
sawa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
とても
totemo
sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
上手(な)
joozu (na)
‐enye ujuzi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kufanya ombi kiungwana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kufanya ombi kiungwana, sema "[kitenzi cha umbo la TE] + moraemasen ka." Maana ya moja kwa moja ya "Moraemasen ka" ni "siwezi kupata?" ni usemi unaotumika kuuliza ikiwa mtu anaweza kufanya unachokiomba. Ni usemi wa kiungwana zaidi ya kusema "-te kudasai" yaani "tafadhali fanya ~."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Unaweza kushika nafasi kwenye mgahawa huu?
kushika nafasi kwenye mgahawa huu
この店を予約する(→予約して)
kono mise o yoyaku-suru (→yoyaku-shite)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Unaweza ~?
~てもらえませんか。
~te moraemasen ka.
kunitunzia mizigo
荷物を預かる(→預かって)
nimotsu o azukaru (→azukatte)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Unaweza ~?
~てもらえませんか。
~te moraemasen ka.
kuniruhusu kuhamia kiti kingine
席を替える(→替えて)
seki o kaeru (→kaete)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Unautumia usemi huu kuanzisha mazungumzo wakati unapotaka kuomba kitu.
Ushauri wa Haru-san
Kufurahia manunuzi
Manunuzi ni moja ya vipaumbele vya kufanya kwa watalii wengi wanaofika Japani. Lakini kwenye maduka mengi, kibandiko cha bei kwa kawaida ni bei thabiti na si kawaida kuomba punguzo la bei.
"Fukubukuro" inayouzwa wakati wa msimu wa Mwaka Mpya ni bidhaa za zawadi za msimu huo. Ni mfuko wa bidhaa za duka husika. Bei ya mfuko wa bidhaa hizo ni pungufu zaidi ya ile ya kununulia bidhaa moja moja.
Kitu kingine cha kipekee nchini Japani ni matunda na mbogamboga zisizouzwa na mhudumu kando ya barabara, mara nyingi karibu na mashamba. Ili kununua, weka tu kiasi cha pesa kwenye kasha kulingana na bei ya bidhaa.
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"