#39
Kuelezea kosa ulilolifanya
Tam ana tatizo! Punde baada ya kurejea kwenye Nyumba ya Haru-san anamwomba Haru-san msaada.
財布
saifu
pochi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
落とす
otosu
poteza/dondosha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
あら
ara
oho
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大変
taihen
‐a kutisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
交番
kooban
kituo cha polisi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~てごらんなさい
~te gorannasai
unatakiwa ~
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
それで
sorede
kwa hivyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どんな
donna
aina gani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
黄色い
kiiroi
njano (kivumishi cha I)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
黄色
kiiro
njano (nomino)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
これ
kore
hii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
それ
sore
hiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea kosa ulilolifanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea kosa ulilolifanya, sema "[kitenzi cha umbo la TE] + shimaimashita." "Shimaimashita" inaelezea majuto au masikitiko kutokana na kitu kilichotokea, hivyo ni neno sahihi kwa nyakati kama vile unapokuwa umepoteza kitu.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Samahani. Nimemwaga maji.
mwaga maji
水をこぼす(→こぼして)
mizu o kobosu (→koboshite)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Nime- ~.
すみません。~てしまいました。
Sumimasen. ~te shimaimashita.
poteza tiketi yangu
切符をなくす(→なくして)
kippu o nakusu (→nakushite)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Nime- ~.
すみません。~てしまいました。
Sumimasen. ~te shimaimashita.
acha simu yangu msalani
トイレに携帯を忘れる(→忘れて)
toire ni keetai o wasureru (→wasurete)
Ushauri wa Haru-san
Vituo vya polisi: Vitovu vya usalama wa umma
Vituo vya polisi vinaitwa koban, ni sehemu ambayo maafisa wa polisi wanakuwepo kikazi. Unaweza kuulizia uelekeo wa mahali, au kuripoti juu ya kitu ulichopoteza. Maafisa pia wanashughulikia chunguzi za kiuhalifu, doria za maeneo jirani na usalama wa barabarani.
Kituo cha polisi nchini Japani
Marekani, Singapore na Brazil ni miongoni mwa nchi zinazotumia mfumo wa vituo vya polisi.
Kituo cha polisi nchini Brazil
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"