#36
Kuulizia saa/muda
Tam na Ayaka wamefika kwenye chemchemi ya majimoto ya Hakone. Mhudumu anawapeleka kwenye chumba chao.
こちら
kochira
hiki (kiungwana)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
部屋/お部屋
heya/oheya
chumba
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~でございます
~de gozaimasu
namna ya kiungwana ya kusema "desu"
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
風呂/お風呂
furo/ofuro
bafu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
何時
nan-ji
saa ngapi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
朝
asa
asubuhi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
夜
yoru
usiku
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本
Nihon
Japani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
温泉
onsen
chemchemi ya majimoto
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
入る
hairu
ingia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
初めて
hajimete
mara ya kwanza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
楽しみ(な)
tanoshimi (na)
kutazamia kwa hamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuulizia saa/muda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuulizia kitu fulani kitaanza saa ngapi na kitafikia mwisho saa ngapi, tumia "nan-ji" yaani "saa ngapi" ili kusema "nan-ji kara nan-ji made desu ka." Fafanua swali linahusu nini kwa kuanza na kiima kisha kiunganishi "wa." "Kara" ni "kutoka/kuanzia" na "made" inamaanisha "hadi/mpaka."
Namna mbalimbali za kuulizia saa/muda:
Ili kuulizia kitu fulani kitaanza saa ngapi, tumia "~ wa nan-ji kara desu ka" ambayo ina maana ya "~ kitaanza saa ngapi?" Ili kuulizia tu kitu fulani kitamalizika saa ngapi, sema "~ wa nan-ji made desu ka" yaani "~ hadi saa ngapi?"
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Tamasha la fataki litaanza kuanzia saa ngapi?
«muda wa kuanza»tamasha la fataki
花火大会
hanabi-taikai
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
~ kuanzia saa ngapi (/) hadi saa ngapi?
~は何時から(/)何時までですか。
~wa nan-ji kara (/) nan-ji made desu ka.
«muda wa kufunga»duka hili
この店
kono mise
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
~ kuanzia saa ngapi (/) hadi saa ngapi?
~は何時から(/)何時までですか。
~wa nan-ji kara (/) nan-ji made desu ka.
«muda wa kuanza na muda wa mwisho»treni inayopita juu
ロープウエー
roopu-uee
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Usemi huu unautumia kujibu swali kuhusu iwapo umewahi kufanya kitu fulani.
Ushauri wa Haru-san
Kuoga katika chemchemi ya majimoto
Chemchemi nyingi za majimoto na mabafu ya jumuiya nchini Japani yametenganishwa kulingana na jinsia.
Kila lango la kuingilia mara nyingi lina pazia lenye herufi ya Kanji inayosomeka "男" (wanaume) au "女" (wanawake). Hivyo, kujifunza herufi hizo kutakuwa ni manufaa kwako.
Bafu la wanaume
Bafu la wanawake
Jinsi ya kuoga
Jinadhifu kabla ya kuoga
Weka taulo na nywele zako nje ya maji
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"