#32

Kuulizia jinsi ya kufika mahali

忍者博物館まで、どう行ったらいいですか Nawezaje kufika Makumbusho ya Ninja?

  • Mazungumzo
  • Video
Tafsiri za mazungumzo
  • Kiswahili
  • Kijapani
  • Hakuna

Mike na Kaito wanaelekea Makumbusho ya Ninja mkoani Mie. Mike amevalia vazi la ninja.

Mazungumzo
Msamiati

似合う

niau

faa

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

かっこいい

kakkoii

pendeza

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

うれしい

ureshii

furaha

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

あのう

anoo

um

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

すみません

sumimasen

samahani

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

忍者

ninja

博物館

hakubutsukan

makumbusho

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

どう

doo

jinsi

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

行く

iku

kwenda

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

この

kono

hii

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

michi

barabara

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

まっすぐ

massugu

moja kwa moja

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

hidari

kushoto

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

ある

aru

kuwa

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

わかる

wakaru

elewa

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

ありがとうございます

arigatoo gozaimasu

asante sana

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

さあ

saa

haya

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Usemi wa Msingi

Kuulizia jinsi ya kufika mahali

Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Kuulizia jinsi ya kufika mahali unapokwenda, sema "[mahali] made, doo ittara ii desu ka." "Ittara" ni kitenzi kinachotokana na "iku" yaani "kwenda" katika umbo la sharti, lakini hapa, kumbuka tu usemi huo kama swali la jinsi ya kufika mahali.

Tumia!
Jaribu!

Jaribu kuulizia jinsi ya kufika mahali unakokwenda

1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?

Um, samahani. Nawezaje kufika hoteli hii?

hoteli hii

このホテル

kono hoteru

2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.

Um, samahani. Nawezaje kufika ~?

あのう、すみません。~まで、どう行ったらいいですか。

Anoo, sumimasen. ~made, doo ittara ii desu ka.

sehemu ya kusubiria treni ya Shinkansen

新幹線のホーム

shinkansen no hoomu 

3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.

Um, samahani. Nawezaje kufika ~?

あのう、すみません。~までどう行ったらいいですか。

Anoo, sumimasen. ~made, doo ittara ii desu ka.

duka hili

この店

kono mise

Ongeza maarifa

Maelekezo

Kanji

Doobutsu (mnyama)

Utamaduni

Mwongozo wa safari wa Mi Ya

Mabasi ya barabara kuu

Kuna njia nyingi za mabasi ya barabara kuu, na nauli zake ni nafuu. Baadhi ya njia maarufu kutoka Tokyo ni pamoja na zile zinazoelekea kwenye majiji makubwa kama Nagoya, Osaka, na Kyoto pamoja na zile zinazoelekea mlima Fuji, Hakone, na chemchemi ya majimoto ya Kusatsu.
Ukipanda basi la usiku, utaokoa muda kwa sababu basi litasafiri ukiwa umelala. Unaweza kuomba uhifadhiwe viti kupitia mtandaoni. Baadhi ya mabasi yanakupa mwanya wa kuchagua viti fulani.
Mabasi ya anasa yana gharama zaidi, lakini baadhi yake yana nafasi zaidi ya sehemu ya miguu wakati mengine yanatoa vyumba vya mtu mmoja mmoja.

Basi la usiku la anasa

Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"

Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"

Jinsi ya kutumia "kumbukumbu zangu"

Onyesha "kumbukumbu zangu"