#30
Kuelezea mambo mbalimbali yaliyopita na yajayo
Tam amefika mgahawani na Mi Ya. Tam anazungumzia kumbukumbu zake kuhusu mwanafunzi wa muziki, Yuuki.
メロンパフェ
meron-pafe
kitindamlo cha tikiti (melon parfait)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
~でございます
~de gozaimasu
namna ya kiungwana ya kusema "desu"
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おいしい
oishii
tamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どこ
doko
wapi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
会う
au
kutana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ベトナム
Betonamu
Vietnamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
小学校
shoogakkoo
shule ya msingi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ボランティア
borantia
kazi ya kujitolea
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
する
suru
fanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
一緒に
issho ni
pamoja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
歌う
utau
imba
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
踊る
odoru
cheza dansi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そう
soo
kumbe
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea mambo mbalimbali yaliyopita na yajayo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kutaja baadhi ya mifano miongoni mwa mambo kadhaa, tumia kitenzi cha umbo la TARI. Kutengeneza umbo hilo, badilisha "te" mwishoni mwa kitenzi cha umbo la TE na kuwa "tari." Kuelezea kitu ulichokifanya, ongeza "shimashita" yaani "-lifanya."
Kuelezea kitu utakachofanya:
Vitenzi vya umbo la TARI vinaweza kutumika kuelezea ulichokifanya na utakachokifanya. Ili kuelezea utakachokifanya, sema "-tari, -tari shimasu/shitai desu" yaani "nita/nataka ku~ na ku~."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nilikwenda kufanya manunuzi na kuogelea baharini.
«ulichofanya»kwenda kufanya manunuzi | kuogelea baharini
買い物をする(→したり) | 海で泳ぐ(→泳いだり)
kaimono o suru (→shitari) | umi de oyogu (→oyoidari)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nili/nataka [kitenzi 1] na [kitenzi 2].
【kitenzi 1】たり、【kitenzi 2】たりしました/したいです。
【kitenzi 1】 tari, 【kitenzi 2】 tari shimashita/shitai desu.
«unachotaka kufanya»kwenda hekaluni | kuvaa kimono
お寺に行く(→行ったり)| 着物を着る(→着たり)
otera ni iku (→ittari) | kimono o kiru (→kitari)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nili/nataka [kitenzi 1] na [kitenzi 2].
【kitenzi 1】たり、【kitenzi 2】たりしました/したいです。
【kitenzi 1】 tari, 【kitenzi 2】 tari shimashita/shitai desu.
«ulichofanya»tazama runinga | kulala kidogo
テレビを見る(→見たり)| 昼寝をする(→したり)
terebi o miru (→mitari) | hirune o suru (→shitari)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Hutumika wakati chakula kinapoonekana kuwa kitamu. Ili kusema "tamu" wakati unapokula kitu, sema "oishii."
Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!
Vitamutamu vya Kijapani na muonekano wake wa kuvutia
Unaweza kupata aina zote za vitamutamu nchini Japani, kama vile vitamutamu vya kitamaduni vya Kijapani na vile vya Kimagharibi.
Vitamutamu vya Kijapani vinajumuisha keki za wali, na vikaukau vya wali na aina ya maandazi ya rojo la maharage. Baadhi ya vitamutamu vinavutia macho yako kama vile keki za wali kwa kutumia maua na majani ya mcheri katika msimu wa machipuo. Wakati wa msimu wa joto, baadhi ya vitamutamu vinaonekana kama anga zinazong'aa na chemchemi safi.
Sakuramochi
Kitamutamu cha Kijapani cha msimu wa joto pekee
"Shortcake" ya Kijapani
Kitindamlo cha tikiti (Melon parfait)
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"