#29
Kusema ulichokifanya
Mi Ya anamwonesha Tam picha alizopiga kwenye onyesho la kupiga piano Kamakura. Tam anazitazama na kushangazwa.
日曜日
nichi-yoobi
Jumapili
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ピアノ
piano

演奏
ensoo
onyesho
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
聴く
kiku
sikiliza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どう
doo
jinsi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すばらしい
subarashii
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
それ
sore
hivyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい(←よかった)
ii (←yokatta)
‐zuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
写真
shashin
picha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
たくさん
takusan
nyingi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
写真を撮る
shashin o toru
piga picha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
見る
miru
angalia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
これ
kore
hiki
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kusema ulichokifanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea lengo la kwenda mahali fulani, tumia "[kitenzi cha umbo la MASU bila masu] + ni iku." Kwa hapa lengo ni "piano no ensoo o kiku" yaani "kusikiliza onyesho la piano." Kwa hiyo ondoa "masu" kwenye "kikimasu"(umbo la MASU la "kiku" yaani "kusikiliza") na kisha ongeza "ni iku."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nilikwenda kula sushi.
kula sushi
すしを食べる(→食べ)
sushi o taberu (→tabe)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nilikwenda ~.
~に行きました。
~ni ikimashita.
kutazama mchezo wa besiboli
野球を見る(→見)
yakyuu o miru (→mi)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nilikwenda ~.
~に行きました。
~ni ikimashita.
kukutana na rafiki
友達に会う(→会い)
tomodachi ni au (→ai)
Jifunze zaidi
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Tufurahie kuzunguka Kamakura
Sanamu kubwa ya Kibuddha ya Kamakura
Hekalu la Tsurugaoka Hachimangu
Mbali na kutembelea maeneo ya kihistoria, unaweza kufurahia mandhari mazuri ya asili katika msimu husika, maduka na migahawa mizuri. Treni nzuri ya eneo hilo ya Enoden pia ni maarufu.
Hekalu la Meigetsuin
(Maua ya Hydrangea, Mwezi Juni)
Enoden
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"