#23
Kusema unachopenda
Tam, Ayaka na Mike wamekuja kwenye mgahawa wa paka unakoweza kucheza na paka.
かわいい
kawaii
mzuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
みんな
minna
wote
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ごはん
gohan
mlo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
食べる
taberu
kula
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
本当に
hontoo ni
kweli
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
おいで
oide
njoo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
この子
konoko
huyu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
好き(な)
suki (na)
penda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
この
kono
huyu / hii
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
猫
neko
paka
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
猫カフェ
neko-kafe
mgahawa wa paka
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
リラックスする
rirakkusu-suru
tulia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ほんと
honto
hakika
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kusema unachopenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kusema unachopenda, sema "[kitu] ga suki desu." "Suki" yaani "penda" ni kivumishi cha NA. Kuashiria [kitu] unachokipenda, unaongeza kiunganishi "ga." Kama unapenda "neko" yaani "paka," sema "neko ga suki desu."
Mazungumzo ya kirafiki:
Katika mazungumzo ya kirafiki, unaweza kuacha kusema "desu" mwishoni mwa sentensi na sema tu "~ ga suki." Ili kumuuliza mtu kitu anachokipenda, sema "Nani ga suki (desu ka)" yaani "unapenda nini?"
"Watashi wa ~":
Kusema unachokipenda, kiima "Watashi wa" au "mimi" kwa kawaida hakisemwi, na unaweza kusema tu "Neko ga suki (desu)," kwa mfano. Lakini kama unataka kusisitiza unachofikiria, kulinganisha na wengine, anza na kiima "Watashi wa" yaani "mimi" na kusema "Watashi wa neko ga suki (desu)."
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Napenda J-pop.
J-pop
J-POP
Jee-poppu
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Napenda ~.
~が好きです。
~ga suki desu.
manga
マンガ
manga
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Napenda ~.
~が好きです。
~ga suki desu.
soka
サッカー
sakkaa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Usemi huo unatumika kukubaliana kabisa na maoni au hisia ya mtu ya kuvutiwa na kitu. "Honto" ni kifupi cha "hontoo" yaani "kweli."
Utamaduni wa kisasa na Mike
Migahawa ya kipekee nchini Japani
Miongoni mwa sehemu za kupata kinywaji ambazo unaweza kucheza na wanyama huku ukifurahia kinywaji chako, sehemu zinazokuwa na paka, bundi na sungura ni maarufu.
Migahawa ya bundi
Migahawa ya sungura
Sehemu zingine za kuvutia ni pamoja na migahawa yenye mabinti wanaoigiza kama wajakazi, na migahawa ya sehemu zenye majimoto za kutumbukiza miguu.
Migahawa ya sehemu zenye majimoto za kutumbukiza miguu
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"