#14
Kuelezea matamanio yako
Kabla ya kuja Japani, Tam alikuwa mfanyakazi wa kujitolea katika shule ya msingi nchini Vietnamu. Siku moja, Yuuki, mwanafunzi wa shule ya muziki kutoka Japani alifika kuwapigia piano watoto wa shule hiyo.
こんにちは
konnichiwa
habari
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
私
watashi
mimi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ぼく
boku
mimi (mwanamume)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本語
Nihongo
lugha ya Kijapani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
できる
dekiru
weza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
少し
sukoshi
kidogo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
だけ
dake
tu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ラジオ
rajio
redio
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
勉強する
benkyoo-suru
jifunza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
へえ
hee
oh
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すごい
sugoi
inavutia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本
Nihon
Japani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ぜひ
zehi
tafadhali
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
来る
kuru
kuja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
案内する
annai-suru
onesha maeneo mbalimbali
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuelezea matamanio yako
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kusema unachotaka kukifanya, tumia "[umbo la TE la kitenzi] + mitai." "Itte" katika "itte mitai" ni umbo la TE la kitenzi "iku" yaani "kwenda." Ukiongeza "desu" mwishoni mwa sentensi inafanya sentensi kuwa ya kiungwana. "~ mitai" inatumika kuelezea vitu ambavyo hujawahi kuvifanya kabla.
Kiunganishi "e":
Kiunganishi "e" katika "nihon e" yaani "kuelekea Japani" kinaonesha uelekeo wa mjongeo. Viunganishi vyote "~ e iku" na "~ ni iku" yaani "kuelekea Japani" vinatumika.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nataka kupanda mlima Fuji.
kupanda mlima Fuji
富士山に登る(→登って)
Fujisan ni noboru (→nobotte)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ningependa ku- ~.
~てみたいです。
~te mitai desu.
kupanda treni iendayo kasi ya Shinkansen
新幹線に乗る(→乗って)
Shinkansen ni noru (→notte)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Ningependa ku- ~.
~てみたいです。
~te mitai desu.
kuvaa kimono
着物を着る(→着て)
kimono o kiru (→kite)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ni usemi wa unyenyekevu unaotumiwa wakati mtu anaposifia uwezo wako.
Ushauri wa Haru-san
Sumo
Inasemekana kwamba Sumo ni mchezo wa taifa wa Japani. Mshindi katika mchezo huo ni yule anayekuwa wa kwanza kumwangusha mwenzake au kumlazimisha mpinzani wake kutoka nje ya ulingo wa duara. Jinsi wanamiereka hao wakubwa kimwili wanavyojitupa kila mmoja kwa mwenzake inastaajabisha. Na ni vigumu kunasua macho yako kwenye mchezo huo mpaka umjue mshindi. Mashindano makubwa hufanyika mara sita kwa mwaka katika miezi witiri.
Mchezo wa sumo
Baadhi ya vyumba vya sumo vinaruhusu mashabiki kutazama mazoezi ya asubuhi.
Mazoezi ya asubuhi
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"