#8
Kuwatambulisha marafiki kwa wengine
Tam na rafiki yake Ayaka wamekuja kwenye Jengo la Serikali ya Jiji la Tokyo, ambalo hutembelewa na watu ili kuangalia mandhari ya jiji kutokea juu. Wanakutana na Mi Ya.
わあ
waa
wow
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すごい
sugoi
inastaajabisha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
きれい(な)
kiree (na)
pendeza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
遅れる
okureru
chelewa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ごめんなさい
gomen nasai
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
友達
tomodachi
rafiki
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
こんにちは
konnichiwa
habari
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
写真を撮る
shashin o toru
piga picha
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
私
watashi
mimi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuwatambulisha marafiki kwa wengine
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuwatambulisha watu wa familia na marafiki kwa wengine, sema "[uhusiano wako na mtu huyo] no [jina (san)] desu." Kiunganishi "no" kinaunganisha nomino na nomino nyingine, wakati nomino ya kwanza ikiifafanua inayofuata. "San" ni neno la heshima linaloongezwa kwenye jina, lakini halitumiki kwako mwenyewe au mtu wa familia yako.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Huyu ni dada yangu mdogo, Anna.
dada mdogo | Anna
妹 | アンナ
imooto | Anna
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Huyu ni [uhusiano], [jina (san)].
【uhusiano】の【jina (-san)】です。
【uhusiano】 no 【jina (-san)】 desu.
mwenzi katika kazi | Jan-san
同僚 | ヤンさん
dooryoo | Yan-san
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Huyu ni [uhusiano], [jina (san)].
【uhusiano】の【jina (-san)】です。
【uhusiano】 no 【jina (-san)】 desu.
mtoto wa kiume | Kiruri
息子 | キルリ
musuko | Kiruri
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Maeneo ya Tokyo ya Kutazamia Mandhari
Jengo la Serikali ya Jiji la Tokyo ambako somo hili limefanyika lipo katika eneo la Shinjuku. Sehemu ya kutazamia mandhari ya jiji kutokea juu iko wazi kwa umma. Unaweza kufurahia mandhari mazuri ya Tokyo kutoka juu urefu wa mita 202. Kama hali ya hewa ni nzuri, unaweza hata kuona Mlima Fuji.
Jengo la Serikali ya Jiji la Tokyo
Mandhari kutoka sehemu ya juu ya kutazamia
Mnara wa Tokyo pia ni maarufu kwa muonekano wake wa rangi ya chungwa iliyokolea na nyeupe. Tokyo Skytree jirani na Asakusa ilijengwa mwaka 2012, na kuwa mnara mrefu zaidi duniani. Minara hiyo yote inapendeza pale inapoangazwa usiku pia.
Mnara wa Tokyo (mita 333)
Tokyo Skytree (mita 634)
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"