#7
Kumwomba mtu azungumze polepole
Tam anakula chakula cha mchana kwenye kafeteria katika chuo kikuu chake. Mwanafunzi wa kike mmoja Mjapani anakuja na kuzungumza naye.
隣
tonari
jirani / pembeni
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いい
ii
sawa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
え?
e?
oh?
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ありがとう
arigatoo
asante
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
留学生
ryuugakusee
mwanafunzi wa kigeni
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すみません
sumimasen
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
よく
yoku
vizuri
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
わかる
wakaru
elewa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ゆっくり
yukkuri
polepole
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
話す
hanasu
zungumza
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ごめん
gomen
niwie radhi / samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
あなた
anata
wewe
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
私
watashi
mimi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
よろしく
yoroshiku
Tuwe na uhusiano mwema (kirafiki)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
よろしくお願いします
yoroshiku onegai-shimasu
Tuendelee kuwa na ushirikiano mwema (kiungwana)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kumwomba mtu azungumze polepole
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kutoa ombi, tumia "[kitenzi cha umbo la TE] + kudasai." Umbo la TE ni kitenzi kilichonyambuliwa kinachoishia na "te" au "de." "Hanashite" ni umbo la TE la neno "hanasu" yaani "zungumza." Vitenzi vya Kijapani vimegawanyika katika makundi matatu. Unyambulishaji wa vitenzi vya umbo la TE hutofautiana kwa kila kundi.
Jinsi ya kuunda umbo la TE:
Vitenzi katika kundi la kwanza, kama muundo wa kikamusi huishia na "-(w)u," "-t(s)u," au "-ru," unabadili mwishoni kuwa "-tte." Vilevile kwa vitenzi vinavyoishia na "-bu" au "-mu," badili mwishoni kuwa "-nde." Kama mwishoni mwa vitenzi huishia na "-ku" au "-gu," badili kuwa "-ite" au "-ide." Lakini "iku" inayomaanisha "kwenda" haijumuishwi na mwishowe huwa "itte." Vitenzi vinavyoishia na "-su," badili mwishoni kuwa "-shite."
Vitenzi katika kundi la pili, badili mwishoni mwa neno la umbo la kikamusi kutoka "-ru" kuwa "-te."
Vitenzi katika kundi la tatu (vitenzi visivyofuata kanuni za kunyambulika), "kuru" yenye maana ya "kuja" huwa "kite" na "suru" yenye maana na "kufanya" huwa "shite."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Samahani. Tafadhali zungumza kwa Kiingereza.
zungumza kwa Kiingereza
英語で言う(→言って)
Eego de iu (→itte)
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Tafadhali ~.
すみません。~てください。
Sumimasen. ~te kudasai.
andika kwa alfabeti
ローマ字で書く(→書いて)
Roomaji de kaku (→kaite)
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. Tafadhali ~.
すみません。~てください。
Sumimasen. ~te kudasai.
fundisha namna ya kusoma
読み方を教える(→教えて)
yomikata o oshieru (→oshiete)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tumia usemi huo kama huelewi kile mzungumzaji anachokuambia. Ukiweka "yoku" kabla ya "wakarimasen" yaani "sielewi" inakuwa kiungwana zaidi.
Kaito, Mwongozaji wako wa chakula!
Vyakula vya Kijapani
Vyakula maarufu vya Kijapani ni pamoja na nigirizushi, kikiwa na vipande vyembamba vya samaki mbichi juu ya wali uliowekwa siki, na sukiyaki, chakula ambacho kina viambato vya sosi ya soya na sukari.
Nigirizushi
Sukiyaki
Wali ni chakula kinacholiwa sana nchini Japani. Kwa kawaida watu hula wali pamoja na viambato kama vile samaki, nyama na mbogamboga. Supu ya Miso au aina zingine za supu mara nyingi huambatana na mlo huo. Vyakula vya Kimagharibi, kama vile tambi na mchuzi, pia vinapatikana kila mahali.
Chakula cha kawaida
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"