#5
Kusema jinsi ulivyojifunza Kijapani
Ni siku ya kwanza ya masomo katika chuo kikuu kwa Tam. Ana wasiwasi na mwenyenyumba Haru-san ambaye ni roboti anagundua na kuzungumza naye.
今日
kyoo
leo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
学校
gakkoo
shule

はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
あらまあ
ara maa
oh
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どう
doo
kivipi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
する
suru
fanya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
日本語
Nihongo
lugha ya Kijapani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
心配(な)
shinpai (na)
mashaka
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
上手(な)
joozu (na)
‐enye ujuzi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いいえ
iie
hapana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
まだまだ
mada mada
hakitoshi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ベトナム
Betonamu
Vietnamu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
勉強する
benkyoo-suru
jifunza / soma
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ラジオ
rajio
redio
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
それなら
sore nara
ikiwa hivyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大丈夫(な)
daijoobu (na)
sawa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kusema jinsi ulivyojifunza Kijapani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuelezea kitu ulichokifanya wakati uliopita, badili mwisho wa kitenzi cha umbo la MASU kutoka "masu" kuwa "mashita." Kiunganishi "de" katika maneno "rajio de" kinaonesha njia iliyotumika au kivipi. Kiima "watashi wa" yaani "Mimi ni‐" na shamirisho "Nihongo o" yaani "Kijapani" vimeachwa kwa sababu vinajulikana katika muktadha huo.
Kiunganishi "de":
Katika sentensi "Rajio de benkyoo-shimashita" yaani "Nimejifunza kwa kusikiliza redio", "de" imeonesha njia iliyotumika kujifunza. Silabi "de" kwenye sentensi "Daigaku de benkyoo-shimashita." yaani "Nimejifunza katika chuo kikuu." inaonesha mahali. Kama unavyoona kwenye mifano hiyo, kiunganishi kimoja kinaweza kuwa na matumizi tofauti.
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Nimejifunza kwa kuangalia katuni za anime.
katuni za anime
アニメ
anime
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nimejifunza kupitia/katika ~.
~で勉強しました。
~de benkyoo-shimashita.
shule
学校
gakkoo
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Nimejifunza kupitia/katika ~.
~で勉強しました。
~de benkyoo-shimashita.
vitabu
本
hon
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ni usemi wa kinyenyekevu unaoweza kuutumia pale mtu anapokusifia. "Iie" inamaanisha "hapana" na "mada mada desu" inamaanisha "hakitoshi."
Ushauri wa Haru-san
Semi za unyenyekevu
Endapo mtu anakusifia, akisema "Kijapani chako ni kizuri," utamjibu vipi?
1) Asante sana.
2) Hapana, si kizuri vya kutosha.
3) Ndiyo, nimejifunza katika chuo kikuu.
Wajapani wengi wangejibu kwa namna ya unyenyekevu na kusema si kizuri vya kutosha kama namba 2) "Iie, mada mada desu." Kijapani kina semi nyingine nyingi za unyenyekevu. Kwa mfano, hata wakati mtu ameandaa meza iliyojaa vyakula kwa ajili ya mgeni, namna ya kawaida ya kukaribisha inaweza kuwa "Hatuna kitu isipokuwa hiki."
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"