#2
Kujitambulisha jina na kazi ufanyayo
Tam -mwanafunzi kutoka Vietnamu- anatafuta "Nyumba ya Haru-san." Anakutana na wakazi wa nyumba hiyo ambao wanamwonesha ilipo nyumba hiyo.
ただいま
tadaima
Nimerudi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
新しい
atarashii
mpya
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
住人
juunin
mkazi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
着く
tsuku
wasili
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ようこそ
yookoso
karibu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
いらっしゃる
irassharu
wasili (kiungwana)
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
え
e
oh
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ロボット
robotto
roboti
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
そう
soo
ndiyo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
大家
ooya
mwenyenyumba
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はじめまして
hajimemashite
habari
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
学生
gakusee
mwanafunzi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
よろしくお願いします
yoroshiku onegai-shimasu
Tuendelee kuwa na ushirikiano mwema
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kujitambulisha jina na kazi ufanyayo
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Katika "[jina/kazi] desu," "desu" huja baada ya nomino ili kukamilisha sentensi. Kwenye "A wa B desu" ama "A ni B," A ni mada au kiima na B inaelezea juu ya kiima. Katika usemi wa msingi, sehemu ya "A wa," ambayo ni "watashi wa" yaani "Mimi ni" haijajumuishwa.
Kutojumuisha mada au kiima:
Iwapo mada au kiima kinaeleweka katika muktadha husika, mara nyingi haijumuishwi. Katika kujitambulisha, kwa mfano, unaweza kutojumuisha "watashi wa" yaani "mimi ni" kutoka "Watashi wa Tam desu." au "mimi ni Tam." na kusema tu "Tam desu."
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Habari. Mimi ni Thomas. Ni mwajiriwa wa kampuni.
Thomas | mwajiriwa wa kampuni
トーマス | 会社員
Toomasu | kaishain
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Habari. Mimi ni [jina]. Ni [kazi ufanyayo].
はじめまして。【jina】です。【kazi ufanyayo】です。
Hajimemashite. 【jina】 desu. 【kazi ufanyayo】 desu.
Erin | mwalimu
エリン | 教師
Erin | kyooshi
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Habari. Mimi ni [jina]. Ni [kazi ufanyayo].
はじめまして。【jina】です。【kazi ufanyayo】です。
Hajimemashite. 【jina】 desu. 【kazi ufanyayo】 desu.
Singh | mhandisi
シン | エンジニア
Shin | enjinia
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Unautumia usemi huu kwa mtu utakayekuwa unashirikiana naye. Mara nyingi unatumika kujitambulisha. Iwapo mtu unayezungumza naye ni rafiki au ni mdogo kwako, unaweza kufupisha na kusema tu "yoroshiku."
Ushauri wa Haru-san
Herufi za Kijapani
Kijapani kina aina tatu za herufi -- Kanji, Hiragana na Katakana. Kwa mfano, kuandika kwa Kijapani usemi "Watashi wa Tam desu" au "Mimi ni Tam" itakuwa:
私はタムです
"私" ni Kanji, "は" na "です" ni Hiragana, na "タム" ni Katakana.
Katakana hutumika kuandika majina na maneno kutoka lugha zingine. Hiragana hutumika kwa vitu vingine. Herufi za kifonetiki za Katakana na Hiragana zimeundwa kutoka Kanji. Kanji ni idiogramu na hutumika kuandika masuala muhimu.
Katakana: a
Hiragana: a
Kanji: yama (mlima)
Mabango yaliyoandikwa kwa Kijapani
Jifunze zaidi
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"