#1
Kuulizia mahali
Tam -mwanafunzi kutoka Vietnamu- anatafuta "Nyumba ya Haru-san". Ni nyumba ya kupanga watu mbalimbali atakayokuwa anaishi akiwa jijini Tokyo.
すみません
sumimasen
samahani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はるさんハウス
Haru-san-Hausu
Nyumba ya Haru-san
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
どこ
doko
wapi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
あれ?
are?
oh?
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ぼくたち
bokutachi
sisi
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
うち
uchi
nyumbani
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
すぐ近く
sugu chikaku
jirani sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
一緒に
issho ni
pamoja
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
行く
iku
kwenda
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
こっち
kocchi
huku
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
はい
hai
sawa
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
ありがとうございます
arigatoo gozaimasu
asante sana
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Kuulizia mahali
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Ili kuulizia mahali, taja "[sehemu] wa doko desu ka." "Wa" ni kiunganishi cha mada ambacho hufuata baada ya nomino. Huandikwa "は (ha)" kwa herufi ya Hiragana lakini hutamkwa "wa." Kwa kuongeza "desu ka" baada ya kiulizi "doko" au "wapi" na kupandisha kiimbo chako itafanya iwe swali.
Kiunganishi "ka" kinaashiria swali:
"Ka" kama ilivyo kwenye "doko desu ka" ni kiunganishi kinachokuja mwishoni mwa sentensi. Inabadili sentensi kuwa swali.
Jifunze zaidi
1Chaguo lipi kati ya machaguo haya matatu ni namna sahihi ya kusema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani?
Samahani. Kituo kiko wapi?
kituo
駅
eki
2Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. ~ -ko wapi?
すみません。~はどこですか。
Sumimasen. ~wa doko desu ka.
duka la saa 24
コンビニ
konbini
3Sema sentensi hii kwa lugha ya Kijapani, ukitumia neno/maneno yafuatayo.
Samahani. ~ -ko wapi?
すみません。~はどこですか。
Sumimasen. 〜wa doko desu ka?
ATM
ATM
ee-tii-emu
Ongeza kwenye "kumbukumbu zangu"Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Usemi huo unaelezea shukrani. Kama unamshukuru mtu aliye na uhusiano wa karibu na wewe, kama rafiki au mtu wa familia, unaweza kusema tu "arigatoo".
Ushauri wa Haru-san
Sauti za Kijapani
Silabi nyingi za Kijapani zimeundwa kwa konsonanti moja na irabu moja.
Lafudhi ya Kijapani inatokana na toni, si sauti za nguvu au sauti dhaifu. Kila neno lina sehemu ya msisitizo; baadhi ya maneno yana toni isiyo na msisitizo, wakati baadhi ya maneno yana sehemu ambazo toni hushuka.
mvua
Mvua ilinyesha.
pipi
Pipi imedondoka.
Jifunze zaidi
Imeongezwa kwenye "kumbukumbu zangu"
Tayari ipo kwenye "kumbukumbu zangu"